kuna vita ili ushinde ni lazima uwe na Agano na Mungu, Huo ndio msaada pekeeSure kupigana ni kwamba ni kama ana taka nishika shingo so huwa na zuia asinishike uku na kemea
Kazi zangu zina nipa mda wa kupumzika sana yaan labda itokee kuna wageni au kuna kazi maalumu ndio nita choka sanaHili jambo huwa linanitokea pia.. Kwangu Mimi nadhani linatokana na kutokulala kwa muda mrefu sababu ya mambo mbali mbali ikiwemo kazi.
😂Ukasomee martial arts akija umbonde kama Mwakinyo
Unayajua majinamizi ?Hili jambo huwa linanitokea pia.. Kwangu Mimi nadhani linatokana na kutokulala kwa muda mrefu sababu ya mambo mbali mbali ikiwemo kazi.
😂😂😂 dahJe, umeseti kimakosa lugha ya kiarabu kimakosa kwenye simu yako na unashindwa kuitoa? Fanya kurestore itarudi na lugha yake asili.... Vuta kidogo urestore hicho kichwa
Naamini utapata msaada hapa. Ni changamoto ngumu wallahiAse bangi hapana
Busu la Kenge kipenzi chetu Hussain Ali 🥺 😭kuna vita ili ushinde ni lazima uwe na Agano na Mungu, Huo ndio msaada pekee
Wewe niwa nani ?
Yesu tunamjua, Paulo tunamjua wewe ni nani ?
MBona kila mtu anasema usali 🤔 itabidi usilimu tukufanyie dua😂😂😂 dah
Sasa mimi nalalga ubavu ubavu tu siwwz lala chali au kifudifudijichunguze utotoni hali kama hiyo ilikuwa inanitokea nikaakaa nikatafakari nakujichunguza nikabaini nilikuwa nalala vibaya nakosa pumzi sasa mwili kwenye kuanza kukuamsha unaanzisha ndoto kama hiyo unaparangana unaamka!.. nilivyojua tu mpk leo nishasahau kama kuna hilo jambo!.
usidanganyike ati kuna jinamizi tena ikibidi kafatilie afya ya mwili wako vyema
Embu fafanuakuna vita ili ushinde ni lazima uwe na Agano na Mungu, Huo ndio msaada pekee
Wewe niwa nani ?
Yesu tunamjua, Paulo tunamjua wewe ni nani ?
HapanaHuwa unaliombea Taifa teule la Israel??
🙏Naamini utapata msaada hapa. Ni changamoto ngumu wallahi
Unalalaje ubavu wa kiume ? EehSasa mimi nalalga ubavu ubavu tu siwwz lala chali au kifudifudi
Nipo tayariMBona kila mtu anasema usali 🤔 itabidi usilimu tukufanyie dua
NikifaaaAkitaka kushika shingo leo muache tuone itakuaje.
Unataka Nyamwi255 abaki mjane?🤣🤣Akitaka kushika shingo leo muache tuone itakuaje.
Kwann huombei Taifa teule? Ntakushtak kwa mama mchungaji 🤔Hapana