Naombeni ushauri

Naombeni ushauri

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,467
Reaction score
65,789
Good morng

Ase hii kitu ina ni kwaza sana since nipo mdogo up now tena kipindi nipo mdogo nilikuwa sitamani usiku ufike kabisa ipo hivi

Usiku nikiwa nimelala naweza amka katikati ya usiku nikawa macho up saa kumi au saa kumi na moja na hapo unakuja usingizi ule mzito sana then na muona mtu ila nikitaka kunyanyua shingo nimuone sura nashindwa ana kuwa kama kani kandamiza shingo

Kinacho nikela zaidi nikiwa ugenini ndio kuzidi yaani na muona mtu na pigana nae kabisa ila sura si wezi ona nisha tumia kila mbinu hii hali iishe ina potea ina kuja tena nikisema niombe maombi ya toba na maombi ya vita vita usiku ndio ina kuwa kali zaidi kuliko kawaida

Nakuja kwenu kuomba ushauri njia ipi mzuri nitumie nataka niwe nalala usiku hii kitu ina chosha
 
Maombi na uchafu moyoni ni vitu viwili tofauti.....hiyo haipingiki
UNAKABWA BRO
Naelewa hatua za maombi cha kwanza kuomba rehema kisha kumuita roho mtakatifu akuingoze kusifu na kuabudu na kuomba maana sisi hatujuu kuomba itu pasavyo kisha kusifu kisha kuabudu ndio una kuja kwenye maombi
 
Good morng

Ase hii kitu ina ni kwaza sana since nipo mdogo up now tena kipindi nipo mdogo nilikuwa sitamani usiku ufike kabisa ipo hivi

Usiku nikiwa nimelala naweza amka katikati ya usiku nikawa macho up saa kumi au saa kumi na moja na hapo unakuja usingizi ule mzito sana then na muona mtu ila nikitaka kunyanyua shingo nimuone sura nashindwa ana kuwa kama kani kandamiza shingo

Kinacho nikela zaidi nikiwa ugenini ndio kuzidi yaani na muona mtu na pigana nae kabisa ila sura si wezi ona nisha tumia kila mbinu hii hali iishe ina potea ina kuja tena nikisema niombe maombi ya toba na maombi ya vita vita usiku ndio ina kuwa kali zaidi kuliko kawaida

Nakuja kwenu kuomba ushauri njia ipi mzuri nitumie nataka niwe nalala usiku hii kitu ina chosha
Njoo inbox nikupe unipe namba yako nikutumie kitabu kinaitwa, siri ya maombi ya mda mrefu, i believe kitakusaidia sanaa mkuu
 
Sijizibi pua kabisa nalala kiubavu bavu
jichunguze utotoni hali kama hiyo ilikuwa inanitokea nikaakaa nikatafakari nakujichunguza nikabaini nilikuwa nalala vibaya nakosa pumzi sasa mwili kwenye kuanza kukuamsha unaanzisha ndoto kama hiyo unaparangana unaamka!.. nilivyojua tu mpk leo nishasahau kama kuna hilo jambo!.
usidanganyike ati kuna jinamizi tena ikibidi kafatilie afya ya mwili wako vyema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom