. naomba mdada mmoja anitumie PM ili nipungue mzuka kidogo.
wewe unanibeep sio? soon nitaelekeza mahasira yangu kwako. ok do ze needful haraka kabla sjachafua sredi la watu.hasira zako kali hadi PM yenyewe imeogopa kuja. PM inataka bodigadi eti.
Vijana mnakurupuka kumsema binti wa watu. Mnasahau kuwa hawa vijana hawakuoana. Pia mmoja yuko mikoani na mwingine Dar. Je mnafahamu mazingira ya kujifungulia ya huyu binti? Je mnafahamu mawasiliano yao yalikuwaje baada ya binti kubeba mimba? Msimshobokee binti kuwa na degree. Wapo watu ambao wanaringia degree zao na ni malimbukeni ila mfahamu ni wachache wa aina hiyo. Binti kujifungulia kwa wazazi wake mara zote unakuta ni rahisi sana jina la mtoto kutokea kwa upande wa mama maana kijana hajatoa mahari na wala katika maelezo ya binti haionyeshi waziwazi kama kijana alienda kujitambulisha kwao.
binti tulia na mwanao usimfikirie huyo mwanaume kwa sasa lea mtoto wako. Jina ni sababu tu ndogo anayoitafutia lukuacha na wala hakuwa na mpango na wewe tokea mwanzo. Kama jina limemkwaza basi angekuwa na subira na kusema mtoto ajaye atampa jina yeye maana alikuwa na mpango wa kukuoa au siyo? Pia kuna namna nyingi ya kubadili jina mtoto, je mumefikiria jina la ubatizo?
Hapa sijaona sababu ya watu kumrukia degree ya huyu binti unless otherwise huna wewe ndio maana unaona ndio sababu.
bek to ze topik: refer to my post no 25 for maelezo zaidi
hellow everybody! Jamani hii ni mara yangu ya kwanza kuwa humu, so naombeni mnipokee,! Mimi ni msichana wa miaka 25,nimemaliza chuo kikuu mwaka jana. Tatizo nililonalo ni kwamba,nilipata boyfriend,ambaye tulipendana sana kufikia hatua ya mimi kubeba ujauzito nashkuru mungu nimejifungua salama mwez wa2, issue kubwa ni kwamba,jamaa kanisusia mtoto kisa,hajapenda jina nililompa mtoto! And so far, hatujaoana! Ila tulikua na plans hizo. Mimi nipo kwe2 dar na yeye anaishi nje ya mkoa akiendelea na mambo yake. Bynow,hatak mawasiliano yoyote na mimi,haulizi hata mtoto wake anaendeleaje! Amekua akintolea maneno ya kashfa and all that stuffs!jamani,au mimi ndiye mkosaji? And its nt that i ddnt tel him b4,nilimwambia! Lkn ni kigeugeu sana! Jamani nifanyeje?should i leave hm alone and live my own life?trully ameniharibu psychologically! Sidhani kama ntakuja kupenda tena maishani! Plz help me...