Ni kitu cha kiasili hutokea automatically hasa ukiwa na viasili ama viashiria vya tabia hiziKwanza kabla ya yote napenda kuwasalim ndugu zangu wote wa JamiiForums wakubwa kwa wadogo,
Nasema itifaki imezingatiwa, shida yangu ni kwamba nataka kujiunga rasmi na siasa kwa maana naipenda sana toka moyoni.
Sasa basi naomba unishauri nini cha kufanya na je unapenda nijiunge na chama gani cha siasa?
Nitakua wa mwisho kuondoka chadema-zitto kabweMi ushauri wangu,achana na siasa mkuu,inaumiza kichwa tu,ili kujua hilo nenda kapekue makablasha ya mbowe kuhusu lowasa enzi hizo,na leo wapo wapi.au kumbuka lowasa alisemaje wakat yupo ccm(asiyenitaka ccm atahama yeye ila mi sihami). Kifupi siasa ni uongouongo tu,
Fuata moyo wako halafu kuwa na maamuzi binafsi... Ishi maisha yakoKwanza kabla ya yote napenda kuwasalim ndugu zangu wote wa JamiiForums wakubwa kwa wadogo,