Naombeni ushauri wenu juu ya seat covers

Mpuretamu

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
1,232
2,006
Habarini wakubwa kwa wadogo? Heshima zenu.

Kama kichwa kinavyosomeka; ninamiliki chombo cha usafiri ( Toyota harrier) model zinazotamba kama tako la nyani. Seat covers zake kwakweli haziendani na gari yenyewe. Ni leather ambayo tayari imepauka.

Sasa nina mawili ya kuchagua kati ya kushonea au kununua ambazo naziona hata mitaani. Naombeni ushauri wenu kati ya hizo options mbili kulingana pia na aina ya gari.

Ninatanguliza shukrani zangu kwa kila ushauri.
 
Kuhusu kavasiti sijui, nimeon tu nikupongeze kwa kumiliki chuma huko mjini...
 
Back
Top Bottom