Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,954
- 80,256
Mwenzangu siku hizi kizungu kinakupenda...Kabisaa lil sisy, huyu mkongwe ameniangusha!
Hadi lil sisy....sipatii picha ukiitamka unavyokunja kashavu kama wazungu.
Mwenzangu siku hizi kizungu kinakupenda...Kabisaa lil sisy, huyu mkongwe ameniangusha!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwenzangu siku hizi kizungu kinakupenda...
Hadi lil sisy....sipatii picha ukiitamka unavyokunja kashavu kama wazungu.
Niko aseeh...najiandaa uje ininoe nami kakikuzungu kakae hata nipate kakutongozea.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Upoje lakinii?!!! Naibia kwako ujue!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Siku hizi hata watu uliowatarajia wajiheshimu imekuwa bure kabisa.
We na ukongwee wako wooooote, unaleta chai za watoto waa sekondari?
Sent using Jamii Forums mobile app
All that work for what!!!!!Review background ya mtoa post.
Mfano unafanya scanning ya threads anazoanzisha, unaweza kuona tu kwamba yuko real au la.
Threads 5 tu zinatosha kumsoma.
All that work for what!!!!!
Duuuh kazi mnazo.
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Mke mwenyewe huna,..lol[emoji125][emoji125][emoji125][emoji81]
Naona umeamua kunizeveza!!Niko aseeh...najiandaa uje ininoe nami kakikuzungu kakae hata nipate kakutongozea.
Sakayo hata wazee wanapenda vitamHufananii drama, hizo waachie kina kiduku!!
Uwe na jioni njema Mkuu!
Mke mwenyewe huna,..lol[emoji125][emoji125][emoji125][emoji81]
Ndiyo maana nimemuuliza mleta mada, labda atuambie hiyo hereni ilikuwa imetengenezwa kwa kutumia ngozi.Panya anafata harufu na vitu anavyokula anavyobeba ni vyenye harufu ila ya hereni mhhh.
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua wanapenda ila sio kwa staili alokuja nayo mleta mada!Sakayo hata wazee wanapenda vitam