Naombeni ushauri wakuu, ndani pamewaka moto

Issue ipo hivi....
Wife alisafiri, baada ya kurudi juzi na kama kawaida nikampokea kwa furaha tele kisha nikampeleka home na nikamuacha anahangaika na watoto pale.

Picha lilianza baada ya wife kuamua kufanya usafi hasa wa chumbani kwetu maana tumepanga chumba kimoko kwenye nyumba yenye wapangaji shazi.

Lahaula walaquwata, mara wife kagongana na nguo ya ndani ikiwa chini ya uvungu wakuu.
Sasa moto uliowaka hapa mwenzenu sijui la kufanya, sasa wakati tukiendelea kuzozana mara ghafla nikamuona panya anaingia kutoka mlango wa room ya jirani akiwa na hereni kaiuma mdomoni, na kwasababu tulikuwa kwenye mzozano mkali nilishindwa kumwambia wife atazame nilizo kiona maana mzushi rat alikuwa tayari kama kashtuka na akaitema ile hereni na kukimbia nje chap.

Sasa wakuu hapa nimeamua kuondoka home ili nipishe mgogoro kwa muda na tayari yule panya ameiacha ile hereni na hapa nawaza wife akiiona, jumlisha na ile nguo aka kabati tena nalifananisha na zile za huyu jirani yetu wa mlango tunao tazamana nao.

Wakuu, ebu nipeni maujanja maana ukweli sijawahi ingiza spare tyre geto wakati wife hayupo, for sure panya ndio kaniletea hili timbwili.

Naombeni maujanja ili ninusuru ndoa yangu mimi ndege janja nilie naswa kwenye tundu bovu leo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu kama ndani pamewaka moto, waite zumamoto chap, watakusaidia.

NB:
Kuhusu hilo tatizo, kama kweli hukuhusika, basi kabla hujarudi nyumbani, panya aliyileta hiyo ngo ya kike ataleta ya kiume nawe utamuuliza imetoka wapi?

Ila huyo panya anabeba hadi hereni!!!!!!?
 
Panya anafata harufu na vitu anavyokula anavyobeba ni vyenye harufu ila ya hereni mhhh.
Mkuu kama ndani pamewaka moto, waite zumamoto chap, watakusaidia.

NB:
Kuhusu hilo tatizo, kama kweli hukuhusika, basi kabla hujarudi nyumbani, panya aliyileta hiyo ngo ya kike ataleta ya kiume nawe utamuuliza imetoka wapi?

Ila huyo panya anabeba hadi hereni!!!!!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaishi vizuri na majirani zako kweli ww? maana huyo panya kaleta balaa au mtt wako ndio kaokota kufuli la jirani kaleta maskani kwa bahati mbaya maana hao wanaweza wakajua ya mama yao kumbe sio kuwa makini kuanzia sasa.
 
Mie juzi kati nimedakwa. Wife kapokea simu ya mchepuko nipo bafuni. Wife akaharibu na kusiriba mbaya kwa mchepuko lakini nimeweza kumuweka sawa wife, nimepangua hoja baada ya hoja. Sasa hivi ndio nahangaika kupangua hoja za wife kwa mchepuko. So issue yako sio kesi kabisa maana hajakushika. Chupi inaweza kuletwa na panya kama ulivyosema au hata inaweza kupeperushwa na upepo. Tena nyumba za kupanga ndio rahisi sana kupangua hoja. Unaweza kujitetea eitha ulifua nguo so wakati wa kuanua ukabeba na chupi ya mpangaji bila kujua. Au unaweza kumgeuzia kibao yeye mwenyewe kwa kumwambia yeye ndio kaianua kwenye kamba.
Ahsante kwa kunitia moyo mkuu, kumbe sipaswi kubabaika eehhh...
Ebu ngoja nikaipanguwe hii kesi aiseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Issue ipo hivi....
Wife alisafiri, baada ya kurudi juzi na kama kawaida nikampokea kwa furaha tele kisha nikampeleka home na nikamuacha anahangaika na watoto pale.

Picha lilianza baada ya wife kuamua kufanya usafi hasa wa chumbani kwetu maana tumepanga chumba kimoko kwenye nyumba yenye wapangaji shazi.

Lahaula walaquwata, mara wife kagongana na nguo ya ndani ikiwa chini ya uvungu wakuu.
Sasa moto uliowaka hapa mwenzenu sijui la kufanya, sasa wakati tukiendelea kuzozana mara ghafla nikamuona panya anaingia kutoka mlango wa room ya jirani akiwa na hereni kaiuma mdomoni, na kwasababu tulikuwa kwenye mzozano mkali nilishindwa kumwambia wife atazame nilizo kiona maana mzushi rat alikuwa tayari kama kashtuka na akaitema ile hereni na kukimbia nje chap.

Sasa wakuu hapa nimeamua kuondoka home ili nipishe mgogoro kwa muda na tayari yule panya ameiacha ile hereni na hapa nawaza wife akiiona, jumlisha na ile nguo aka kabati tena nalifananisha na zile za huyu jirani yetu wa mlango tunao tazamana nao.

Wakuu, ebu nipeni maujanja maana ukweli sijawahi ingiza spare tyre geto wakati wife hayupo, for sure panya ndio kaniletea hili timbwili.

Naombeni maujanja ili ninusuru ndoa yangu mimi ndege janja nilie naswa kwenye tundu bovu leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kisa cha uongo
 
Unaishi vizuri na majirani zako kweli ww? maana huyo panya kaleta balaa au mtt wako ndio kaokota kufuli la jirani kaleta maskani kwa bahati mbaya maana hao wanaweza wakajua ya mama yao kumbe sio kuwa makini kuanzia sasa.
Ahsante mkuu, nimejifunza kuwa makini rasmi kuanzia sasa.
Huu ushauri nimeuzingatia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom