Naombeni ushauri wa jinsi ya kumfikishia ujumbe Mke Wangu bila kuumiza moyo wake

Duuuh !!! Anaingia bafuni kuoga then anatoka bila kupiga mswaki ""!??

Wonders shall never ends
 
meno ya sebuleni
 

daaaah
 
Huyo ni mkeo hakuna haja ya kumuonea wivu. Mpe ukweli ukionesha unakereka na tabia yake, mwambie tu kuwa kinywa chako kinatoa harufu kwakuwa hupigi mswaki Mara kwa Mara,
Kuna haja ya wazazi kufundisha watoto wetu namna ya kupiga mswaki sawa sawa, usafi wa kinywa.
 
Hhahaha heheheh hahaha,hizi tabia kumbe kuna wanawake wanazo Dah!! hapo inabidi uoe tu mke wa pili,halafu uanze kutumia nyagi kuondoa stimu za harufu.

Hizo mambo za kutokuoga mara mbili au kutopiga mswaki ni za wanaume ila kwa wanawake labda wale wa BUSH.Nenda naye taratibu tu.Ila mwambie straight.Yaani ukitaka kudendeka akiwa na harufu unamwambia hapo hapo aende akajiswafishe na akija unakagua kabisa kwamba harufu hamna alafu ndo unambusu.Hayo ndo mapenzi pembeni ya hapo utamchoka mapema sana mkeo huyo
 
Sijuhi kama una mke mkuu, kuna hatua katika "mapenzi" hata jina la mke wako mf. Monica huwezi kulitamka....waliooa watakuwa wanaelewa hii kitu sembuse kumwambia "unanuka"
 
Ni kweli Mkuu. Lazima kutest mitambo huku unafanya uchunguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…