Kwa matokeo haya nitafanikiwa kwenda Advance?

KIBUGAmk

Member
Jan 22, 2024
83
130
Jamani nimepata division III ya point 24 nilikuwa nauliza je, kitafanikiwa kwenda kidato cha tano ( A level)?

Matokeo yang ni haya.

Civics C,

English C,

Biology C,

Kiswahili C,

History C,

Geography D,

Math F.
 
Chagua shule ambazo hazijulikani sana kama saiv mna huo utaratibu wa kuchagua baada ya mtihani
Pili kwenda utaenda kombi HKL na hizo mpya ambazo sizijui...
Tatu ukienda nenda kasome sana mdogo wangu chukulia changamoto zilizokupa hizo alama za form four kama funzo ili ikifika wakati wa kuchagua chuo uwe na furaha na amani
 
Wewe kalime magimbi tu kila a mkubwa sijui umerithi upumbavu
 
Kwa wahitimu wa 2022, wavulana walichaguliwa kujiunga fv wenye point 7-21 na wasichana point 7-23!

Je mwaka huu idadi ya waliofaulu vzr ni wangapi na shule ngapi zipi?

Jiandae kujiunga na vyuo vya kati.
 
Chagua shule ambazo hazijulikani sana kama saiv mna huo utaratibu wa kuchagua baada ya mtihani
Pili kwenda utaenda kombi HKL na hizo mpya ambazo sizijui...
Tatu ukienda nenda kasome sana mdogo wangu chukulia changamoto zilizokupa hizo alama za form four kama funzo ili ikifika wakati wa kuchagua chuo uwe na furaha na amani
Kwanini nichague shule ambazo hazijulikan?
 
Mdogo wangu kazana sana kusoma pengine ni changamoto za maisha zilikufanya ukapata ufaulu huwo ila usife moyo HKL itakuhusu

Mungu akutangulie
 
Jamani nimepata division III ya point 24 nilikuwa nauliza je, kitafanikiwa kwenda kidato cha tano ( A level)?

Matokeo yang ni haya.

Civics C,

English C,

Biology C,

Kiswahili C,

History C,

Geography D,

Math F.
Unaenda mkuu second selection
 
Jamani nimepata division III ya point 24 nilikuwa nauliza je, kitafanikiwa kwenda kidato cha tano ( A level)?

Matokeo yang ni haya.

Civics C,

English C,

Biology C,

Kiswahili C,

History C,

Geography D,

Math F.
Aisee kuna watu bado mna mawazo ya kwenda advance Hadi Leo?
 
Wewe kalime magimbi tu kila a mkubwa sijui umerithi upumbavu
We bwege nazi baada ya kugraduate pale udom na sas ni mwaka wa10 hujapat ajira umeamua kulima magimbi pole sana, ntakusaidia kulima na migomba🤣😂🤣😂
 
Back
Top Bottom