Kwa ufaulu huu je, naweza kupata nafasi chuo cha Muhimbili kwa ngazi ya Diploma in Medical Labaratory Science?

Mohamedex121

JF-Expert Member
Jan 27, 2022
1,688
3,142
Salam wakuu, nina dogo langu alikuwa anataka kurudi chuo mwakani na ufaulu wake wa o level ni huu apa

Biology- C
Mathematics- C
Chemistry- D
Physics- D
English -C

Division 2 ya pointi 21 amehitimu mwaka 2019. Je kwa ufaulu huu anaweza kuchaguliwa apo MUHAS mwakani.

Natanguliza shukurani
 
Aende vyuo vya NACTE ajitahidi awe na GPA nzuri, then anaweza kwendadegree moja kwa moja tokea NACTE. Pass hizo zi rahisi mana kuna div 1 single digit nyingi.........
 
Dah nashukuru sana ngoja nianze kuangalia namna ya kuongea naye
 
  • Thanks
Reactions: bCg
Credit zinazotakiwa za A level! Sio O level
siyo kweli...

COMPETENCY BASED PROGRAMMESUNDERGRADUATE PROSPECTUS2021/2022 – 2022/2023

8.2 DIPLOMA PROGRAMMES
8.2.1 Diploma in Medical Laboratory Sciences Programme
This is a competency based six-semester Diploma in Medical Laboratory Sciences
(DMLS) Programme. It intends to train health personnel capable of managing
medical laboratory and diagnostic services focusing on preventive curative and
rehabilitative health care. Students are also trained to carry out research activities
relevant to provision of quality health in laboratory services.
8.2.1.1 Entry requirements
Direct Entry
Credits in Biology and Chemistry and Physics, and D grade in English and
Mathematics at ‘O’ level.
Equivalent Qualifications
Certificate in Medical Laboratory sciences with three years’ experience who has
passed the selection examination recognized by the University and must have ‘O’
level secondary school certificate
 
Naona pass mark za masomo mwisho ni D. Kwanini wale wenye divisheni 2 wanakataliwa wakati wamekidhi vigezo kwenye pass mark za masomo
 
Salam wakuu, nina dogo langu alikuwa anataka kurudi chuo mwakani na ufaulu wake wa o level ni huu apa

Biology- C
Mathematics- C
Chemistry- D
Physics- D
English -C

Division 2 ya pointi 21 amehitimu mwaka 2019. Je kwa ufaulu huu anaweza kuchaguliwa apo MUHAS mwakani.

Natanguliza shukurani
Kwanini asisome hiyo kozi mwaka huu?
Nipe index number yake na namba ya simu
 
Kwanini asisome hiyo kozi mwaka huu?
Nipe index number yake na namba ya simu
Maandalizi ya kusoma mwaka huu bado. Ndio yupo katika mchakato wa kuchagua vyuo pamoja na kuangalia masuala ya ada. Kwa ushauri zaidi nije pm??
 
Tatizo wengi wanaangalia vyuo vya serikali badala ya kwanza kujua kama mhitimu atapata elimu bora. Kuna vyuo vya Private ambavyo vinatoa elimu bora kiasi katika mtihani wa taifa (2nd semester) angalau 75 percent ya wanafunzi ni first class. Utofauti wa Gharama ya hiyo private na vyuo vya serikali ni 500,000 tu. Kumbuka kwa CMT lazima mtoto apate first class ili aweze kuendelea na degree
 
Salam wakuu, nina dogo langu alikuwa anataka kurudi chuo mwakani na ufaulu wake wa o level ni huu apa

Biology- C
Mathematics- C
Chemistry- D
Physics- D
English -C

Division 2 ya pointi 21 amehitimu mwaka 2019. Je kwa ufaulu huu anaweza kuchaguliwa apo MUHAS mwakani.

Natanguliza shukurani
Hawez kupata, kuna mdg wangu form four kafaulu kuliko huyo ila alikosa,imebid atumie results zake cha six akapge bachelor
 
Mkuu hakuna course ya diploma nchi hii utaisoma kwa kuingia na cheti ya olevel maelezo hayo yanaonesha ni lazima uwe equivalent qualification ambayo ni lazime apige certificate then ndo diploma. Alevel iliyofaulu inaingia course yeyote diploma
 
Siyo kweli.
 
Salam wakuu, nina dogo langu alikuwa anataka kurudi chuo mwakani na ufaulu wake wa o level ni huu apa

Biology- C
Mathematics- C
Chemistry- D
Physics- D
English -C

Division 2 ya pointi 21 amehitimu mwaka 2019. Je kwa ufaulu huu anaweza kuchaguliwa apo MUHAS mwakani.

Natanguliza shukurani
Apply Bugando utapata!
 
Back
Top Bottom