Naombeni ushauri ninunue gari ipi

Ninunue gari ipi kati ya hizi


  • Total voters
    50
Ni ngumu sana, nzito haichanganyi mi napenda speed, yaan bodi lake zito, seat za nyuma za kimaskini sana zipo kama kigoda, yangu ni 5 seat, inapendeza ingekuwa 7 seat maana buti kubwa kupiatiliza karibu nusu ya gari. Ila kwa sisi maskini ni gari nzuri sana kwa sababu ya bei yake ndogo
 
Hukuweka kigezo cha speed pale mwanzo ndio maana wengi tulichagua mitsubish
 
Mitsubish Delica D5 2015
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…