Billion Dolar
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 1,442
- 3,261
Kula chuma cha rumion mkuu ila chukua gari tu ya moyo wako ndo umeipenda mkuuWananzengo habari zenu.
Mimi ni mtu wa safsri kila ijumaa ja jumapili, na huwa napenda nitumie gari binafsi ili nijipangie mda wa kuondoka na kufika. So nlikuwa na gari ndogo nahisi kuichoka.
Kati ya gari ninayohitaji ni honda crosroad ama rumion nikishindwa hizi basi outlander but hizi 2 za mwanzo ndo chaguo langu.
Nimekuja kwenu kuomba ushauri ni gari ipi ninunue, bajeti yangu ni 18 hadi 20 mil. Natamani ninunue msimu huu wa christmass coz bei huwa zinashuka. Nakaribisha ushauri ila sio masimango ama matusi
Wanakuja mkuuNaamini kuna wanaozijua vizuri ni
Mkuu, hivi zile Honda Fit Hybrid ni mali au mateso?Kama kupiga kura tu, mi ningesema Rumion.
Kama wa safari sana chukua ya cc1800 2ZR-FE
3mil mkuu japo si vema kusema kipatoKwa sisi wataalam wa magari kabla hatujakushauri ununue gari gani lazima tuuloze na kipato chako cha mwezi ili ushauriwe gari utakayoimudu usije kuiacha ukaanza kutembea na miguu kisa mafuta
Kwa sisi wataalam wa magari kabla hatujakushauri ununue gari gani lazima tuuloze na kipato chako cha mwezi ili ushauriwe gari utakayoimudu usije kuiacha ukaanza kutembea na miguu kisa mafuta
Mali na nusu kaka. Kipato cha kati ndio mkombozi yule.Mkuu, hivi zile Honda Fit Hybrid ni mali au mateso?
Kwa kipato hicho zote unazimudu ila outlander kidogo angalau imekaa kiume tofauti na Rumion na hiyo nyingine, maintenance pia utamudu ila usipeleke kwa mafundi wa vichochoroniKama 3.5m kama take home, unaushauri gari gani mkuu