Naombeni ushauri ninakufa njaa mwenzenu

kwa nini usiongozane na mashosti wako kula?
Muwe kama watatu hivi mnakaa meza moja?
hapa kwenye kitengo mimi nipo mwenyewe mdada
pia muda wa kula upo limited dkk kumi kila mtu .muda wa kutafutana na kuongozana hamna.
Ila kwa ushauri wako huu nitaanza kuwapitia wenzangu niende nao
thax mkuu
 
kiukweli mimi naogopa sana watu
mida ya tea nasubiria mida ambayo hamna watu wengi mahali ambapo huwa napata tea
lunch ivoivo naweza kukaa hadi saa tisa sijala ili tu wayu wapungue kabisa maana naogopa
sasa kuna mkaka mmoja kiukweli namuogopa sana wa ofsi ya jirani hapo
mara nyingi tunakutana kwenye huo mgahawa
tatizo ni hili yaani kila nikienda pamoja na nimechelewa nikiagiza tu chakula kikiwekwa mezani na yeye ndo anajitokeza
jamani hadi nakonda mwenzenu maana chakula hakipiti.
nikisema niwahi anakuja,nikichelewa anakuja sijui nifanyeje

Kwani anakuombaga chakula? Au ukiwa unakula anakukodolea mimacho?Mchane live tu au kama kuna la zaidi hapo mana nijuavyo mimi kama unamzimikia mtu kumtazama machoni huwa ISSUE!
 
kiukweli mimi naogopa sana watu
mida ya tea nasubiria mida ambayo hamna watu wengi mahali ambapo huwa napata tea
lunch ivoivo naweza kukaa hadi saa tisa sijala ili tu wayu wapungue kabisa maana naogopa
sasa kuna mkaka mmoja kiukweli namuogopa sana wa ofsi ya jirani hapo
mara nyingi tunakutana kwenye huo mgahawa
tatizo ni hili yaani kila nikienda pamoja na nimechelewa nikiagiza tu chakula kikiwekwa mezani na yeye ndo anajitokeza
jamani hadi nakonda mwenzenu maana chakula hakipiti.
nikisema niwahi anakuja,nikichelewa anakuja sijui nifanyeje

mmmm Smile.Wewe unamind huyo mkaka.ILA UNAONA AIBU KUCHEMAAAA KHAAA..
 
Ofcn kwako hakuna Wanaume ambao unaweza kuongozana nao?Kama wapo uwe unafanya timing unaenda nao.
 
huo mgahawa nakula kila siku kwa sababu bill inalipwa na ofisi my dear,nimebadili time table sana tu lakini mambo ni yale yale nikikaa tu nayeye anatokeza

Basi uwe unamfuata mnakula wote huku mnapiga stori, utamzoea tu!!
 
yaani hapa nina njaa na leo siendi ,nione kama hatokula leo

Nakuja sasa hivi kukupitia twende kula Smile.Yeye kula lazima ale ila wewe unamonea aibu yeye.Na moja yapo ya kumuonea aibu mwanamume ni kwamba unampenda sanaaaaaaaaaa.
 
Jamani nisaidieni nifanyeje msichukulie utani.hapa nina njaa nikisema nikanywe hata juice ile tu wanasave na yeye anaingia mwee ni nini hiki?
Nashindwa kula mwenzenu

dah naomba nije wakati wa tea na lunch niwe nakupa company akiona hivyo mwezi tu mwenyewe atakuacha tu au akiendelea nimwamishie masasi kule kwa nape
 
Nakuja sasa hivi kukupitia twende kula Smile.Yeye kula lazima ale ila wewe unamonea aibu yeye.Na moja yapo ya kumuonea aibu mwanamume ni kwamba unampenda sanaaaaaaaaaa.
simpendi bwana nitapenda wangapi? mi nakupenda wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom