Naombeni ushauri ninakufa njaa mwenzenu

teh utaniomba tu nina hakika
heri tuheshimiane tu huku huku,pia the way ulivo naweza kujisahau nikupe
tusitafutane uadui tubaki tu humuhumu
Isijekuwa huyo mkaka ameliona hilo, ndio maana anakuwa kama fisi na mkono wa binadamu. Anasubiri hiyo fursa uje "kujisahau" -lol!
Pole sana Smile! Hebu jaribu kutomwogopa na kuzoweana naye. Hatimae utakujagundua kuwa hana madhara kwa maisha ya mwanadamu.
 
kiukweli mimi naogopa sana watu
mida ya tea nasubiria mida ambayo hamna watu wengi mahali ambapo huwa napata tea
lunch ivoivo naweza kukaa hadi saa tisa sijala ili tu wayu wapungue kabisa maana naogopa
sasa kuna mkaka mmoja kiukweli namuogopa sana wa ofsi ya jirani hapo
mara nyingi tunakutana kwenye huo mgahawa
tatizo ni hili yaani kila nikienda pamoja na nimechelewa nikiagiza tu chakula kikiwekwa mezani na yeye ndo anajitokeza
jamani hadi nakonda mwenzenu maana chakula hakipiti.
nikisema niwahi anakuja,nikichelewa anakuja sijui nifanyeje
unajiskiaje moyoni ukimuona?do you love your current caple?
 
nilishawai mmoja tu ila sikuiba aliniambia mkewealifariki kwa ajali siku nyingi .nikamwambia nionyeshe kaburi ili tupate baraka zake za mwisho akaniambia alifia marekani akazikwa hukohuko , baada ya muda ndo nikaujua ukweli kumbe tupo mtaa mmoja na huyo wife wake bwana hata usinikumbushe

hizo mbona ni fair play tu, wanaume kama walimuua yesu, nini mke?
 
kiukweli mimi naogopa sana watu
mida ya tea nasubiria mida ambayo hamna watu wengi mahali ambapo huwa napata tea
lunch ivoivo naweza kukaa hadi saa tisa sijala ili tu wayu wapungue kabisa maana naogopa
sasa kuna mkaka mmoja kiukweli namuogopa sana wa ofsi ya jirani hapo
mara nyingi tunakutana kwenye huo mgahawa
tatizo ni hili yaani kila nikienda pamoja na nimechelewa nikiagiza tu chakula kikiwekwa mezani na yeye ndo anajitokeza
jamani hadi nakonda mwenzenu maana chakula hakipiti.
nikisema niwahi anakuja,nikichelewa anakuja sijui nifanyeje

Agizia chakula uletewe ofisini.
 
Acha kujistukia wewe, ukija huwa hata sina time na wewe nina mke nyumbani.. So enjoy your lunch bana sio kila siku ukiniona unavibrate ka nokia jeneza..
 
Yeah mimi huwa naona mara nyingi sana wanawake wako type kama smile, type kama hio wakisha kupenda hata kikombe cha chai kinatetemeka time wanakunywa chai.

Mnajua kwanini, sababu wanapenda afu hawataki kusema wamependa....Mpe tu green light kama umempenda nini kujidai unamuogopa, hata yeye anaonyesha kisha kupenda.

Kweli nyie mmeshapendana sema kila mmoja wenu domo zege!!haiwezekani ukamchukia namna hiyo. We SMILE kwani hiyo mashine haijachanwa bado?aaaah mpeane ya moyoni mpigane pu*** tu ndio suluhisho la ww kukaa kwa amani kwenye huo mgahawa.ku** mwenzie mb**
 
Ushauri wa karne.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom