Naombeni ushauri ninakufa njaa mwenzenu

Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,347
11,610
kiukweli mimi naogopa sana watu
mida ya tea nasubiria mida ambayo hamna watu wengi mahali ambapo huwa napata tea
lunch ivoivo naweza kukaa hadi saa tisa sijala ili tu wayu wapungue kabisa maana naogopa
sasa kuna mkaka mmoja kiukweli namuogopa sana wa ofsi ya jirani hapo
mara nyingi tunakutana kwenye huo mgahawa
tatizo ni hili yaani kila nikienda pamoja na nimechelewa nikiagiza tu chakula kikiwekwa mezani na yeye ndo anajitokeza
jamani hadi nakonda mwenzenu maana chakula hakipiti.
nikisema niwahi anakuja,nikichelewa anakuja sijui nifanyeje
 
Smile dear, ebu sema ukweli......inakuwaje unamgwaya huyo mkaka? Na kwanini uendelee kwenda mgahawa uleule kila siku ilhali hutaki kukutana naye?
 
Smile dear, ebu sema ukweli......inakuwaje unamgwaya huyo mkaka? Na kwanini uendelee kwenda mgahawa uleule kila siku ilhali hutaki kukutana naye?
huo mgahawa nakula kila siku kwa sababu bill inalipwa na ofisi my dear,nimebadili time table sana tu lakini mambo ni yale yale nikikaa tu nayeye anatokeza
 
Duh Smile, roho i radhi lakini mwili ni dhaifu.
Omba likizo kwa muda kadhaa.
 
huo mgahawa nakula kila siku kwa sababu bill inalipwa na ofisi my dear,nimebadili time table sana tu lakini mambo ni yale yale nikikaa tu nayeye anatokeza
Kwanini unamuogopa huyo mkaka?

Chukua simu za wahudumu wa mgahawa, lunch time unaomba wakuletee ofisini ili usiende hapo. B'fast pia hivyo hivyo.
 
Kwanini unamuogopa huyo mkaka?

Chukua simu za wahudumu wa mgahawa, lunch time unaomba wakuletee ofisini ili usiende hapo. B'fast pia hivyo hivyo.
ofisi yetu ilivokaa huwezi kula huku my dia
 
Yeah mimi huwa naona mara nyingi sana wanawake wako type kama smile, type kama hio wakisha kupenda hata kikombe cha chai kinatetemeka time wanakunywa chai.

Mnajua kwanini, sababu wanapenda afu hawataki kusema wamependa....Mpe tu green light kama umempenda nini kujidai unamuogopa, hata yeye anaonyesha kisha kupenda.
 
pole - naona UMEFALL IN LOVE - si unajua kuanguka tena????? Hope one day mta-connect [love connect]
:violin::violin::violin:
 
Tafuta shahada ya vipimo vya ukimwi vya mtu alieathirika halaf weka juu ya meza ionekane, halaf wewe tambaa na bakuli yako ya supu bila wasiwasi. Huyo jamaa akiludi tena hapo kwenye mkahawa basi ujue na yeye ni mwathirika.
Ikishindikana hii nistue nikupe plan B
 
pole - naona umefall in love - si unajua kuanguka tena????? Hope one day mta-connect [love connect]
:violin::violin::violin:
kweli simpendi sijui tu kwanini namuogopa
 
tafuta shahada ya vipimo vya ukimwi vya mtu alieathirika halaf weka juu ya meza ionekane, halaf wewe tambaa na bakuli yako ya supu bila wasiwasi. Huyo jamaa akiludi tena hapo kwenye mkahawa basi ujue na yeye ni mwathirika.
Ikishindikana hii nistue nikupe plan b
khaaa nitatoa wapi hicho cheti?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom