kinehe
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 205
- 198
Wiki iliyopita siku ya alhamisi mchumba alitangaza kuachana na mimi (mimi ni me) kulingana na sababu aliyotoa ambayo nilieleza kwenye uzi niliouanzisha wiki iliyopita
Mimi sijaridhika nayo kwa sababu bado nampenda na tarehe 26 ni siku yake ya kumbukumbu ya kuzaliwa
Je nimpelekee zawadi ama laa? Naomba ushauri wanajamvi.
Mimi sijaridhika nayo kwa sababu bado nampenda na tarehe 26 ni siku yake ya kumbukumbu ya kuzaliwa
Je nimpelekee zawadi ama laa? Naomba ushauri wanajamvi.