Naombeni Ushauri, nimpelekee zawaid gani kwenye kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa mpenzi tuliyeachana?

Angalia kwenye mahusiano yenu alikua anapenda kitu kipi sana na ambacho alikua hana, kama kipo ndani ya uwezo wako mchukulie icho mpelekee.
Wengi wanatamanigi vigari vya kike kama vitz au passo kwa hiyo aingie kwenye mtandao wa kupatana ajikunje amnunulie hata kavitz used wallahi lazima atapewa kitu mubashara siku hiyo.
 
Hainahaja kaza moyo ww ni mwanaume usijibembeleze kwake onyesha uanamme wako asikuzingue huyo,kwa kufanya hivyo utazidi kumpandisha chati.
 
Duh!!Broo kin'gan'ganizi niaje,we nenda tu kwenye hiyo birthday party ukashudie demu akilishana keki kwa mdomo na huyo msela wake mpya
 
Ila kadi andika jina lako mwenyewe
Hivi hujui kuachwa au kujidai king'ang'anizi kwa mtu mzima mliekutana ukubwani na meno 32 juu hiyo zawadi bora umpe mama yako mzazi upate thawabu kwa Mungu
Tena ukute hajawahi kumpa mama yake zawadi japo upande wa kitenge tu!
 
Mkuu kwa nn unaendelea kuwa king'ang'anizi? Umeambia sasa BAC ww bado tu baadae ukifanyiwa kitu mbaya unaanza kulialia wakati alam tayar
 
Back
Top Bottom