Naombeni Ushauri, nimpelekee zawaid gani kwenye kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa mpenzi tuliyeachana?

kinehe

JF-Expert Member
Jul 2, 2016
205
198
Wiki iliyopita siku ya alhamisi mchumba alitangaza kuachana na mimi (mimi ni me) kulingana na sababu aliyotoa ambayo nilieleza kwenye uzi niliouanzisha wiki iliyopita

Mimi sijaridhika nayo kwa sababu bado nampenda na tarehe 26 ni siku yake ya kumbukumbu ya kuzaliwa
Je nimpelekee zawadi ama laa? Naomba ushauri wanajamvi.
 
Kwa ushauri mzuri..
Nenda kaudhurie sherehe yake ya kuzaliwa na umpe zawadi ambayo anastahili kupewa bila shaka mpatie zawadi ambayo ataipenda na kuifurahia.....
Wala usiogope kuwa ataikataa au atashangaa umefika kwenye sherehe yake ya kuzaliwa bila ruhusa yake au mwaliko.
Usiogope nenda hudhuria sherehe furahia naye ongea naye na kisha mkabidhi zawadi yake.
 
Mtu akitangaza nia ya break up ulietangaziwa unatakiwa kubadili gia angani haraka sana japo huwa ni ngumu sababu inaumiza mno. Nakumbuka ex wangu nikiwa nimezama totally alinitangazia nia duuuuh! Nilikaa baada ya 4dys nikamtumia mwanae ambae kazaa na mwanamke mwingine nguo nilizokua nimenunua coz alinipiga kibuti nikiwa nimesha nunua, baada ya kuzituma nilimtext ofisi ya bas akachukulie,,,nikamblock mazima aisee.
Sasa hivi yy ndio anahangaika kubembeleza....but namshukuru coz alinisababishia nipate mume anaejielewa.
 
Kumbe wewe ni ke??!!!
 
Kwa ushauri mzuri..
Nenda kaudhurie sherehe yake ya kuzaliwa na umpe zawadi ambayo anastahili kupewa bila shaka mpatie zawadi ambayo ataipenda na kuifurahia.....
Wala usiogope kuwa ataikataa au atashangaa umefika kwenye sherehe yake ya kuzaliwa bila ruhusa yake au mwaliko.
Usiogope nenda hudhuria sherehe furahia naye ongea naye na kisha mkabidhi zawadi yake.
Asante kwa ushauri, ntakupa mrejesho pm
 
Last wik alhamisi mchumba altangaza kubrokeUP (mm ni me) kulingana nasababu aliotoa ambayo nlieleza kwny uzi nliopost last wik mm sjardhika nayo bdo nampenda, tar26 ni sku yk yakuzaliwa je nimpelekee zawadi ama laa? Naomba ushauri wanajamvi.
Mpelekee love.
 
Unataka kufufua penzi lenu lililokufa, throw her much money, no one is strong against money.

Unaweza ukamsuprise na benk account siku hiyo anashangaa unampa atm card na password zake ikiwa na bank statement ikionyesha mpunga uliomo.
 
Last wik alhamisi mchumba altangaza kubrokeUP (mm ni me) kulingana nasababu aliotoa ambayo nlieleza kwny uzi nliopost last wik mm sjardhika nayo bdo nampenda, tar26 ni sku yk yakuzaliwa je nimpelekee zawadi ama laa? Naomba ushauri wanajamvi.
Mnunulie Verossa. Nakuakikishia atarudi kwako akitembea kwa vidole na si goti.
 
Back
Top Bottom