Naombeni ushauri nimepata mrembo anadai nimpe milioni 6 kabla ya kumfanya chochote!

Unatumia mtandao gani kati ya hiyo hapo ili nikutumie pesa japo nusu yake yahizo alizotaka umpatie. > tiGO pesa au M-pesa au Aitel Money......
 
Ahahahaha we jamaa unatuchora siyo! Kama Hela pakupeleka huna Mpe.

Ila ngoja..

Mkuu fuata akili usifuate matamanio utapotezwa
 
Tafuta hela ukamto.be huyo mtoto
 
Kitendo tu cha kuombwa ela yote hiyo ushaonekana boya...mara ya mwisho umempa mamako kiasi gani.?mi nmetoka piga chini dem anatako kama wema sepetu kiasi baada ya kugonga anataka nimpe ela ya kujazia gesi..
 
Shida ni kwamba nimeshaoa mi nlitaka awe mchepuko tuu
Hizo milioni sita zitafute kwa udi na uvumba na kwa maarifa mengi sana huku ukiweka akilini umbo lake halafu ukishapata nenda moja kwa moja kampe MKE WAKO ..mfungulie biashara mkeo au muende kununua kiwanja muwekeze. ..."unachokililia" hata mkeo anacho ndo mana ukamuoa.
 
Anadai kwanza nimpe milioni sita ndipo nitaweza kumfanya chochote nitakacho ikiwezekana hata kumuoa

Mahari inclusive au exclusive.??? hio 6m unayo??

Mwambie aache kitonGa, atoe papuchi apewe hela mambo unatoa pesa afu ukute kiuno kimekaza kama Bawaba ya Kitanda
 
Mahari inclusive au exclusive.??? hio 6m unayo??

Mwambie aache kitonGa, atoe papuchi apewe hela mambo unatoa pesa afu ukute kiuno kimekaza kama Bawaba ya Kitanda
Ohoooooo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…