Unatumia mtandao gani kati ya hiyo hapo ili nikutumie pesa japo nusu yake yahizo alizotaka umpatie. > tiGO pesa au M-pesa au Aitel Money......Wakuu ukistaajabu ya bashiru na Membe utayaona ya mabinti Wa Arusha
Nilikutana na binti mmoja mzuri kupita kiasi, binti Huyo ni mmasai Wa Arusha na amemaliza degree UDOM mwaka Jana,
Nilijenga mazoea nae ya kiukaribu zaidi na mwisho Wa siku nikaamua nijirushe hewani nijaribu bahati yangu,
Baada tu ya kumwambia kuna ninempenda na nataka niwe nae kimahusiano , binti huyu bila hata aibu wala haya ya aina yoyote ananiambia eti kwanza nimpe milioni sita afanye biashara kwakua hali ya ajira imekua ngumu,
Binti mwenyewe sio siri ameumbika hata jokate hafui dafu
Mtoto huyo ameumbwa akaumbika kiukweli
Sasa nimemwambia ngoja nijifikirie ntakupa jibu
Wakuu nimewaza hapa nimekosa jibu la kumpa maana hela aliyoniambia ni kubwa tena ukizingatia naweza kumpa halafu akaingia mitini
Anadai kwanza nimpe milioni sita ndipo nitaweza kumfanya chochote nitakacho ikiwezekana hata kumuoa
Wakuu naombeni ushauri nifanyeje?
Tupia picha. Milioni 6 ujue nyingi AiseeLakini yule mtoto ni mzuri jamani kuna watu wameumbwa wakaumbika dunia hii
Kabla hatujashaur mengne hiyo milion sita unayo au huna?
Tafuta hela ukamto.be huyo mtotoWakuu ukistaajabu ya bashiru na Membe utayaona ya mabinti Wa Arusha
Nilikutana na binti mmoja mzuri kupita kiasi, binti Huyo ni mmasai Wa Arusha na amemaliza degree UDOM mwaka Jana,
Nilijenga mazoea nae ya kiukaribu zaidi na mwisho Wa siku nikaamua nijirushe hewani nijaribu bahati yangu,
Baada tu ya kumwambia kuna ninempenda na nataka niwe nae kimahusiano , binti huyu bila hata aibu wala haya ya aina yoyote ananiambia eti kwanza nimpe milioni sita afanye biashara kwakua hali ya ajira imekua ngumu,
Binti mwenyewe sio siri ameumbika hata jokate hafui dafu
Mtoto huyo ameumbwa akaumbika kiukweli
Sasa nimemwambia ngoja nijifikirie ntakupa jibu
Wakuu nimewaza hapa nimekosa jibu la kumpa maana hela aliyoniambia ni kubwa tena ukizingatia naweza kumpa halafu akaingia mitini
Anadai kwanza nimpe milioni sita ndipo nitaweza kumfanya chochote nitakacho ikiwezekana hata kumuoa
Wakuu naombeni ushauri nifanyeje?
Nipe jina lake la fbNdio maana nikaomba ushauri Ila sio siri mtoto Ameumbwa akaumbika
Tukupe ushauri gani mkuu au unataka mchango?
Hizo milioni sita zitafute kwa udi na uvumba na kwa maarifa mengi sana huku ukiweka akilini umbo lake halafu ukishapata nenda moja kwa moja kampe MKE WAKO ..mfungulie biashara mkeo au muende kununua kiwanja muwekeze. ..."unachokililia" hata mkeo anacho ndo mana ukamuoa.Shida ni kwamba nimeshaoa mi nlitaka awe mchepuko tuu