Naombeni ushauri nimepata mrembo anadai nimpe milioni 6 kabla ya kumfanya chochote!

Mwambie akamwambie baba ake ampe
 
Mpe ila make sure matundu yote umeyatoboa
 

ukimpa utafanikiwa,ukimpa utatajirika,ina tanzanite,ina korosho ya serekali,ina mafuta yaliyopanda bei,ina TRA msamaa wa kodi
🧐 kuna watoto wazuri mpaka mtu anaomba umuoe kwa msahafu au bibilia tu.mungu hawaongoze
 
JIZI Hilo.....piga sound Mkuu mpaka aingie kingi, tupia 4 zakushiba tembea....usijenge kibanda...inawezekana ndo wale alowazungimzia lecturer Visencia Shule....
 
Shida ni kwamba nimeshaoa mi nlitaka awe mchepuko tuu
Ooh basi ni halali kukuomba milion sita, yaan wewe umtumie kwa matumizi yako binafsi wakati una mwanamke ndani yeye apoteze future yake kwa ajili yako... mpe hela afanye biashara.
 
Ha ha ha, kuna mmoja alijifanya mjuaji akaliwa kwanza afu ye ndio akakopesha, wanaume wa dar ni vichwa sana, hilo wazo alitakiwa alililetewakati ushamkamua kimoja cha nguvu ndio aongee pumba kama izo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…