Naombeni ushauri nimepata mrembo anadai nimpe milioni 6 kabla ya kumfanya chochote!

Haha huyo demu hakupendi na hajavutiwa na ww, atakuwa na ww ili akuchune tu, si ajabu unaweza toa hela na papuchi usiipate, ukaishia kusepa mwenyewe, ila kama una pesa nyingi za kuchezea na million 6 kwako ni kama tsh 6000 na uko okay kupendewa pesa, basi mpe muafi
Lakini yule mtoto ni mzuri jamani kuna watu wameumbwa wakaumbika dunia hii
 
Mkuu naona umemsifia sana tutumie kapicha hata kwa mbali tuthaminishe ilo body ndio tukuchangie ifike au laa ila nahisi nidanga wa certificate ila elimu ya ke bachelor
 
Kumpa ml6 sio tatizo..tatizo ni kwamba siku utakapotaka kupewa anachotaka af ukakutana na deep sea..my braza I don't know who will wipe ur tears!!
 
Muulize kuwa yeye bikra? Kashakuona wewe boya lkn madeleva boda wanagonga bule
Madereva boda hawawezi hata kumuona yule anatembelea VX
Mi mwenyewe kwa Mara ya kwanza nimekutana nae hospitali frani
Mitaani hazururi hovyo
 
Ndio maana nikaomba ushauri Ila sio siri mtoto Ameumbwa akaumbika
Hujajibu swal lakin mkuu amejuaje? kama umeingia na hyo gia kama una hela then katoe hyo mil 6 maana ndio strategy ulioingilia
 
Wakuu ukistaajabu ya bashiru na Membe utayaona ya mabinti Wa Arusha

Nilikutana na binti mmoja mzuri kupita kiasi, binti Huyo ni mmasai Wa Arusha na amemaliza degree UDOM mwaka Jana,

Nilijenga mazoea nae ya kiukaribu zaidi na mwisho Wa siku nikaamua nijirushe hewani nijaribu bahati yangu,

Baada tu ya kumwambia kuna ninempenda na nataka niwe nae kimahusiano , binti huyu bila hata aibu wala haya ya aina yoyote ananiambia eti kwanza nimpe milioni sita afanye biashara kwakua hali ya ajira imekua ngumu,

Binti mwenyewe sio siri ameumbika hata jokate hafui dafu
Mtoto huyo ameumbwa akaumbika kiukweli

Sasa nimemwambia ngoja nijifikirie ntakupa jibu
Wakuu nimewaza hapa nimekosa jibu la kumpa maana hela aliyoniambia ni kubwa tena ukizingatia naweza kumpa halafu akaingia mitini
Anadai kwanza nimpe milioni sita ndipo nitaweza kumfanya chochote nitakacho ikiwezekana hata kumuoa

Wakuu naombeni ushauri nifanyeje?
Mpe tu,kupanga ni kuchagua
 
mpe tu mkuu si unaendekeza ngono.. usipokuwa na adabu na pesa jua mwishoni utakuwa mfano kwa wenzio.!!!
 
Wakuu ukistaajabu ya bashiru na Membe utayaona ya mabinti Wa Arusha

Nilikutana na binti mmoja mzuri kupita kiasi, binti Huyo ni mmasai Wa Arusha na amemaliza degree UDOM mwaka Jana,

Nilijenga mazoea nae ya kiukaribu zaidi na mwisho Wa siku nikaamua nijirushe hewani nijaribu bahati yangu,

Baada tu ya kumwambia kuna ninempenda na nataka niwe nae kimahusiano , binti huyu bila hata aibu wala haya ya aina yoyote ananiambia eti kwanza nimpe milioni sita afanye biashara kwakua hali ya ajira imekua ngumu,

Binti mwenyewe sio siri ameumbika hata jokate hafui dafu
Mtoto huyo ameumbwa akaumbika kiukweli

Sasa nimemwambia ngoja nijifikirie ntakupa jibu
Wakuu nimewaza hapa nimekosa jibu la kumpa maana hela aliyoniambia ni kubwa tena ukizingatia naweza kumpa halafu akaingia mitini
Anadai kwanza nimpe milioni sita ndipo nitaweza kumfanya chochote nitakacho ikiwezekana hata kumuoa

Wakuu naombeni ushauri nifanyeje?
Niletee mimi huku, nampa hiyo hela mama yangu walahi?
 
Jifunze namna mbalimbali za ku approach,
Approach uliyotumia ndo imeku-cost, cozhiyo hela hutompa na pachuchu hutopata.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom