Lazima kutakuwa na sababu, inawezekana marafiki zako wanakunywa, wazazi, kwasababu hakuna aliyezaliwa na kuanza kupewa pombe.Ukweli hamna sababu yeyote
Naombeni ushauri nimekuwa mlevi kupindukia msaada wa mawazo nimejaribu kuacha nimeshindwa
Naombeni ushauri nimekuwa mlevi kupindukia msaada wa mawazo nimejaribu kuacha nimeshindwa
Mkuu ulevi wako ni nini hasa. Huwa unalewa ukiwa mwenyewe au na wenzakoo??Naombeni ushauri nimekuwa mlevi kupindukia msaada wa mawazo nimejaribu kuacha nimeshindwa
Pima faida na hasara unazopata kuwa na hao watu kama marafiki zako, ukipata jibu, lifanyie kazi.Kuhusu marafiki ni kweli
tafuta kilevi kingine,maana kuacha ulevi bila kuwa na ulevi mwingine wa kuzugia ni dhahamaaNaombeni ushauri nimekuwa mlevi kupindukia msaada wa mawazo nimejaribu kuacha nimeshindwa
Kasema pombe soma uzi vizuliUlevi gani mkuu? Ulevi wa mtandaoni, kugegeda, kunywa pombe,kula mno au kuangalia sana TV?
What type of addiction do you have?
as long kashajua aamue tu kupunguzaKuacha pombe ni maaamuzi yako