Msaada: Uume kushindwa kusimama

Emmathias

JF-Expert Member
Jan 22, 2018
678
947
Habarini ndugu zangu wa JF, naomba niende moja kwa moja kwenye tatizo ambalo kwasasa linaninyima radha ya maisha, nilifanya appointment na binti nikiwa vizuri kabsa na kabla ya hapo sikuwa na tatizo kama hili.

Binti alifanikiwa kupanda gari kuja eneo nilipo, ilikuwa ni kwa mara ya kwanza kufanya mechi nae, usiku wa kwanza nilifanya vizuri tu bila tatizo, na kesho yake asubuhi vile vile.

Baada ya hapo siku zilizofuata performance yangu ikashuka, nikawa natumia nguvu nyingi sana kupata hisia, japo nilijitahidi kwa uwezo wa Mungu akamaliza muda wake kwangu akijua naweza ( japo Kuna muda alistuka akajua Nina shida kitandani).

Akaondoka, tokea hapo mashine yangu imekuwa ikisimama kwa shida sana ( legelege) mwanzoni Hali hii kwa kweli imeninyima raha kabsa ndugu zangu. Nimekuwa mtu wa mawazo, na kiasi kwamba najiona dhaifu.

Nina week mbili Sasa mashine inasimama kwa wasiwasi, na ikisimama haina uwezo wa kuwekwa mahali ( sio imara).

Naomba kwa mtu anayejua tiba, ushauri anisaidie nimekuwa mtu wa kushinda nimelala nikiwaza.

Naombeni ushauri wenu au mwenye Tiba anisaidie.
 
Mawazo yamekuja baada ya hili tatizo.
Umeshatengeza visual circle ambayo kutoka ni ngumu. Hata mimi sidhani kuwa una tatizo. Tatizo labda ulipokutana na huyo dada ulidhani ni lazima kuonyesha umbwamba (hasa ukizingatia watu wanavyodanganywa na porn za kwenye mtandao) na ukajikuta umejichosha kupita kiasi na kushindwa kusimamisha. Tangu siku hiyo ukawa umeathirika.
 
Hapana mkuu, Wala sikuwa nimempania kivile na hata kama ingekuwa hivyo baada ya yeye kuondoka ningerudi katika Hali yangu kama mwanzo
 
Habarini ndugu zangu wa JF, naomba niende moja kwa moja kwenye tatizo ambalo kwasasa linaninyima radha ya maisha, nilifanya appointment na binti nikiwa vizuri kabsa na kabla ya hapo sikuwa na tatizo kama hili.

Binti alifanikiwa kupanda gari kuja eneo nilipo, ilikuwa ni kwa mara ya kwanza kufanya mechi nae, usiku wa kwanza nilifanya vizuri tu bila tatizo, na kesho yake asubuhi vile vile.

Baada ya hapo siku zilizofuata performance yangu ikashuka, nikawa natumia nguvu nyingi sana kupata hisia, japo nilijitahidi kwa uwezo wa Mungu akamaliza muda wake kwangu akijua naweza ( japo Kuna muda alistuka akajua Nina shida kitandani).

Akaondoka, tokea hapo mashine yangu imekuwa ikisimama kwa shida sana ( legelege) mwanzoni Hali hii kwa kweli imeninyima raha kabsa ndugu zangu. Nimekuwa mtu wa mawazo, na kiasi kwamba najiona dhaifu.

Nina week mbili Sasa mashine inasimama kwa wasiwasi, na ikisimama haina uwezo wa kuwekwa mahali ( sio imara).

Naomba kwa mtu anayejua tiba, ushauri anisaidie nimekuwa mtu wa kushinda nimelala nikiwaza.

Naombeni ushauri wenu au mwenye Tiba anisaidie.
Mawazo ndio kikwazo Cha kwanza

Binafsi hiyo hali ilishawahi kujikuta,

Lakini iliondoka, nilichofanya ni kufanya mazoezi, kunywa maji ya kutosha, kula vyakula vinavyoongeza mzunguko wa damu na kuweka vizuri homoni pia kujitahidi kulala angalau masaa 6 - 8

Sasa nina nguvu Hadi nazikimbia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom