Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,247
Mapenzi hayataki siasa...ana roho km mkulu wa hiyo bendera
Mapenzi hayataki siasa...ana roho km mkulu wa hiyo bendera
Mapenzi yaliwapitiaga kushoto,Wanaume wa jukwaa la siasa wamehamia huku [emoji125] [emoji125]
Sidhani kama jamaa ameingiza siasa.Ndiyo kwenye mapenzi asiingize siasa sasa.
Thanks kwa ushauri mzurKweli kuna watu wana roho ngumu huku duniani kiukweli.
Kakuvumilia toka huna kitu asa hivi umepata maendeleo unaona hafai kweli?
Ety unataka mwenye maisha yake kumbuka huyo unayemtaka kuna waliochangia kumfikisha hapo kama mkeo alivyokusupport hadi hapo ulipo.
Unachokitafuta utakipata soon jichanganye watoto wa mjini wakuonyeshe kazi.
Ushauri:
Kama unaona anakas bure na hana mchango wowote kwanini usimuwezeshe au wewe mbinafsi hutaki mwenzio aendelee?
Mtafutie biashara au mfungulie kamradi utaiona juhudi yake acha kumdharau.
Nikwambie tu unaweza uoe huyo msomi unayemtaka na hata senti kumi yake usiione katika kuendeleza maisha yenu.
Husomagi humu watu wanalia wana wake wanafanya kazi lakini hawachangii chochote katika familia na bado wanaomba pesa kwa waume zao.
[emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125]Mapenzi yaliwapitiaga kushoto,
Hamna kitu hapo,ukiwa na mume km huyu hesabu ni 0,mana hajui mapenzi ni nini,anachowaza yeye ni gari na ni msomi hawez kuishi na asye soma.
Hasara kubwaa
Ameingiza nini....Sidhani kama jamaa ameingiza siasa.
Wew ulitaka aingize nini?Ameingiza nini....
Wewe unataka nitake aingize nini?Wew ulitaka aingize nini?
Mbona unazunguka zunguka. Nia yako ni nini haswa?Wewe unataka nitake aingize nini?
Kwan hii ni Id pacha ya mtoa uzi? Kama sio ...uwe na wakati mwema mkuuMbona unazunguka zunguka. Nia yako ni nini haswa?