Naombeni ushauri ndugu zangu,rafiki zangu

Kweli kuna watu wana roho ngumu huku duniani kiukweli.
Kakuvumilia toka huna kitu asa hivi umepata maendeleo unaona hafai kweli?
Ety unataka mwenye maisha yake kumbuka huyo unayemtaka kuna waliochangia kumfikisha hapo kama mkeo alivyokusupport hadi hapo ulipo.
Unachokitafuta utakipata soon jichanganye watoto wa mjini wakuonyeshe kazi.
Ushauri:
Kama unaona anakas bure na hana mchango wowote kwanini usimuwezeshe au wewe mbinafsi hutaki mwenzio aendelee?
Mtafutie biashara au mfungulie kamradi utaiona juhudi yake acha kumdharau.
Nikwambie tu unaweza uoe huyo msomi unayemtaka na hata senti kumi yake usiione katika kuendeleza maisha yenu.
Husomagi humu watu wanalia wana wake wanafanya kazi lakini hawachangii chochote katika familia na bado wanaomba pesa kwa waume zao.
The best comment ever.
 
Nimeishi nae kama mume na mke uyu binti kwa miaka minne sasa,elimu yake ni kidato cha nne ivyo hakubahatika kuendelea na shule,ni mama wa nyumbani

Mimi nimebahatika kidogo nna kadegree japo kamoja na kakazi ka kujishikiza kidogo

Ndani ya miaka minne tumebahatika kununua gar na kujenga kabanda japo kadogo

Baada ya miaka minne ya kuishi nae sasa nataka kufanya maamuzi ya kufunga nae ndoa,lakini moyoni bado nna kitu kinanisumbua sana kitu chenyewe ni hiki

Wakati Mimi naaangaika na shule kwa ajili ya maisha ya baadae mwenzangu alikua anaangaika na mapenzi,starehe nyingi na out kibao na watu wazima

Jambo jingine ni kua yeye ni Mama wa nyumbani na Mimi ndo mtafutaji pekee kwaiyo maendeleo niliyokua Nayo sasa nahisi yangekua mbali zaidi kama ningekua naishi ma mfanyakazi mwenzangu kuliko uyu tegemezi

Pia umri wetu karibia sawa maana nimemzidi mwaka mmoja,hapa shida ni kua kwa nini nisiwe na kabinti kadogo kazuri kenye maisha yake kuliko uyu mtu mzima Mwenzangu alie ona mapenzi ni bora kuliko shule

Nawakilisha
jinamizi linakuandama sababu ya hiyo avatar yako,otherwise acha masimango kwa mpenzi wako alokusitiri hadi umefikia hiyo unayoita hadhi,acha ushamba tulia na huyo kichuna wako hadi kifo kiwatenganishe...
 
Kweli kuna watu wana roho ngumu huku duniani kiukweli.
Kakuvumilia toka huna kitu asa hivi umepata maendeleo unaona hafai kweli?
Ety unataka mwenye maisha yake kumbuka huyo unayemtaka kuna waliochangia kumfikisha hapo kama mkeo alivyokusupport hadi hapo ulipo.
Unachokitafuta utakipata soon jichanganye watoto wa mjini wakuonyeshe kazi.
Ushauri:
Kama unaona anakas bure na hana mchango wowote kwanini usimuwezeshe au wewe mbinafsi hutaki mwenzio aendelee?
Mtafutie biashara au mfungulie kamradi utaiona juhudi yake acha kumdharau.
Nikwambie tu unaweza uoe huyo msomi unayemtaka na hata senti kumi yake usiione katika kuendeleza maisha yenu.
Husomagi humu watu wanalia wana wake wanafanya kazi lakini hawachangii chochote katika familia na bado wanaomba pesa kwa waume zao.
pole ila wkt mwenzake anasoma yeye yupo busy na upuuzi kwahy ni hafai tu ni demu wa kua single mother sio kosa langu najaribu kutoa comment km 70%ya wanaume wanaojielewa wanavyofikiria
 
huyo kachuja tu hiyo ndo point ujana kala huko na vizee uzee wake kaketa kwako piga chini fasterrrr
 
pole ila wkt mwenzake anasoma yeye yupo busy na upuuzi kwahy ni hafai tu ni demu wa kua single mother sio kosa langu najaribu kutoa comment km 70%ya wanaume wanaojielewa wanavyofikiria
Hayo ni maoni yangu
Hata hivo wakati hana kitu hiyo mwanamke alikuwa anamfaa na wala hakumuona Malaya kabisa
Kapata gari na nyumba ghafla anaanza kuona hafai
Hakunaga mwanaume anayejielewa dunia hii akafanya upuuzi kama huo.
Soma hata comment za wanaume wenzio wanaojielewa uone kama wapo upande wako then utapata jibu.
 
Huo uhuni alikua anafanya na nani c wewe au
 
Nimeishi nae kama mume na mke uyu binti kwa miaka minne sasa,elimu yake ni kidato cha nne ivyo hakubahatika kuendelea na shule,ni mama wa nyumbani

Mimi nimebahatika kidogo nna kadegree japo kamoja na kakazi ka kujishikiza kidogo

Ndani ya miaka minne tumebahatika kununua gar na kujenga kabanda japo kadogo

Baada ya miaka minne ya kuishi nae sasa nataka kufanya maamuzi ya kufunga nae ndoa,lakini moyoni bado nna kitu kinanisumbua sana kitu chenyewe ni hiki

Wakati Mimi naaangaika na shule kwa ajili ya maisha ya baadae mwenzangu alikua anaangaika na mapenzi,starehe nyingi na out kibao na watu wazima

Jambo jingine ni kua yeye ni Mama wa nyumbani na Mimi ndo mtafutaji pekee kwaiyo maendeleo niliyokua Nayo sasa nahisi yangekua mbali zaidi kama ningekua naishi ma mfanyakazi mwenzangu kuliko uyu tegemezi

Pia umri wetu karibia sawa maana nimemzidi mwaka mmoja,hapa shida ni kua kwa nini nisiwe na kabinti kadogo kazuri kenye maisha yake kuliko uyu mtu mzima Mwenzangu alie ona mapenzi ni bora kuliko shule

Nawakilisha

acha ubaguzi.elimu yako aina nafasi ktk mapenzi
 
Chochote utakachoamua kufanya naomba ukumbuke kua MALIPO NI HAPA HAPA DUNIANI!
Umemchafua na kumchakaza miaka minne yote hiyo tena nna uhakika alikua anakupikia na kukufulia akati wewe uko chuoni au kazini. Mi nadhani ulimueka kama housegirl tu.
Yaani ungejua wengine wanatamani wapate wake wa nyumbani au wenye biashara binafsi ili wakitoka makazini wamechoka wakute angalau wife kamuandalia juice bariidi. We tafuta tu mke atakaerudi sa tatu usiku na kuondoka sa kumi na moja kuwai foleni.
Usimchokoze Mungu kijana. We mharibifu kweli!
 
Eti Alikuwa anatembea Na Watu wazima..point yako wewe Ni kwamba hana Kazi Hayo.mengine umeongezea Ili Tusikuchambe Humu..Blood fool..Njoo uwapate akina Lulu wakuonyeahe Kazi..Ndo utamkumbika housewife wako.
 
Back
Top Bottom