Naombeni ushauri ndugu zangu,rafiki zangu

Aisee kweli binadamu sie wabaya
Umtumie bidada miaka 4 halafu umpe kibuti sababu ameshakidhi haja zako uko vizuri kifedha
Huo ni uchawi
 
Nimeishi nae kama mume na mke uyu binti kwa miaka minne sasa,elimu yake ni kidato cha nne ivyo hakubahatika kuendelea na shule,ni mama wa nyumbani

Mimi nimebahatika kidogo nna kadegree japo kamoja na kakazi ka kujishikiza kidogo

Ndani ya miaka minne tumebahatika kununua gar na kujenga kabanda japo kadogo

Baada ya miaka minne ya kuishi nae sasa nataka kufanya maamuzi ya kufunga nae ndoa,lakini moyoni bado nna kitu kinanisumbua sana kitu chenyewe ni hiki

Wakati Mimi naaangaika na shule kwa ajili ya maisha ya baadae mwenzangu alikua anaangaika na mapenzi,starehe nyingi na out kibao na watu wazima

Jambo jingine ni kua yeye ni Mama wa nyumbani na Mimi ndo mtafutaji pekee kwaiyo maendeleo niliyokua Nayo sasa nahisi yangekua mbali zaidi kama ningekua naishi ma mfanyakazi mwenzangu kuliko uyu tegemezi

Pia umri wetu karibia sawa maana nimemzidi mwaka mmoja,hapa shida ni kua kwa nini nisiwe na kabinti kadogo kazuri kenye maisha yake kuliko uyu mtu mzima Mwenzangu alie ona mapenzi ni bora kuliko shule

Nawakilisha
Our stupied.. ...hivi wewe kwa miaka hiyo minne umemzalisha saa hizi ndio unaona mtu mzima ulipokua unambiringisha huko kitandani hadi ukamzalisha hukuyaona haya yote ningekua karibu ningekufungua hicho kichwa chako nione kama umebeba akili au ugali nyambafff
 
Inawezekana Baba alikuwa monogamy wakati wa palizi then kwenye mavuno anakuwa polygamy.

Wakati ambapo haukuwa na kazi, nyumba, na gari, alikusaidia na hukumuona kama ana mapungufu, ila wakati wa mavuno unataka kubadili gear.

Kama unataka kumkwepa mtu, fanya hivyo mwanzoni kabisa na sii kupotezeana muda.

Sasa kama wewe ni msomi wa degree unaomba ushauri kwenye jambo kama hili, walioishia la saba wafanyeje?.....kweli elimu ni kipaji na sii makaratasi....cc Prof wa bgruni.
 
Umeanza vizuri kweli...hapa mwisho sasa dah!
 
Nimeishi nae kama mume na mke uyu binti kwa miaka minne sasa,elimu yake ni kidato cha nne ivyo hakubahatika kuendelea na shule,ni mama wa nyumbani

Mimi nimebahatika kidogo nna kadegree japo kamoja na kakazi ka kujishikiza kidogo

Ndani ya miaka minne tumebahatika kununua gar na kujenga kabanda japo kadogo

Baada ya miaka minne ya kuishi nae sasa nataka kufanya maamuzi ya kufunga nae ndoa,lakini moyoni bado nna kitu kinanisumbua sana kitu chenyewe ni hiki

Wakati Mimi naaangaika na shule kwa ajili ya maisha ya baadae mwenzangu alikua anaangaika na mapenzi,starehe nyingi na out kibao na watu wazima

Jambo jingine ni kua yeye ni Mama wa nyumbani na Mimi ndo mtafutaji pekee kwaiyo maendeleo niliyokua Nayo sasa nahisi yangekua mbali zaidi kama ningekua naishi ma mfanyakazi mwenzangu kuliko uyu tegemezi

Pia umri wetu karibia sawa maana nimemzidi mwaka mmoja,hapa shida ni kua kwa nini nisiwe na kabinti kadogo kazuri kenye maisha yake kuliko uyu mtu mzima Mwenzangu alie ona mapenzi ni bora kuliko shule

Nawakilisha
Badilisha upepo mkuu. Tafuta kabinti ka kiilaq au mlangi. Ni wazuri sana wa sura na watamzidi huyo uliyenae kwa tuhuma unazomtuhumu.

Lkn utakuwa umeandika historia ya kuacha uliyeanza nae maisha na kuoa kabinti kadogo.
 
That is the spirit brother!

Hata ungemwacha na mwezi mmoja bado tungekusema una roho mbaya. Ila wewe hilo hujali maana una roho mbaya tangu siku ya kwanza ulipomtongoza huyo dada, sembuse leo ambapo unataka kuonesha roho nzuri?

Reality ni hakuwahi kuwa mpenzi/mke wako toka day one: ulimchukulia kama kiburudisho + house girl wako! Sasa tokea lini mtu ukaoa malaya au house girl wako.

Ni kweli inauma kwa upande wake, lakini utakuwa umemtendea haki sana kama ukimuacha na kwenda kwa binti mdogo utakayempenda.

Nakubaliana na yote uliyoyasema...MUACHE!

NB: Sheria za Tanzania zinatambua huko kukaa kwenu kama ndoa halali...uwe tayari kugawana mali na vingine.
 
Nimeishi nae kama mume na mke uyu binti kwa miaka minne sasa,elimu yake ni kidato cha nne ivyo hakubahatika kuendelea na shule,ni mama wa nyumbani

Mimi nimebahatika kidogo nna kadegree japo kamoja na kakazi ka kujishikiza kidogo

Ndani ya miaka minne tumebahatika kununua gar na kujenga kabanda japo kadogo

Baada ya miaka minne ya kuishi nae sasa nataka kufanya maamuzi ya kufunga nae ndoa,lakini moyoni bado nna kitu kinanisumbua sana kitu chenyewe ni hiki

Wakati Mimi naaangaika na shule kwa ajili ya maisha ya baadae mwenzangu alikua anaangaika na mapenzi,starehe nyingi na out kibao na watu wazima

Jambo jingine ni kua yeye ni Mama wa nyumbani na Mimi ndo mtafutaji pekee kwaiyo maendeleo niliyokua Nayo sasa nahisi yangekua mbali zaidi kama ningekua naishi ma mfanyakazi mwenzangu kuliko uyu tegemezi

Pia umri wetu karibia sawa maana nimemzidi mwaka mmoja,hapa shida ni kua kwa nini nisiwe na kabinti kadogo kazuri kenye maisha yake kuliko uyu mtu mzima Mwenzangu alie ona mapenzi ni bora kuliko shule

Nawakilisha

Nakustahi we jamaa lakini mimi huwa sipendi ujinga
 
bro jiandae kugawana nae hvyo vichache mlivyopata pamoja....
 
Eti kama asingekuwa tegemaezi mama wa nyumbani labda ungekuwa mbali zaidi!,mkuu kaa ukijua riziki huja kwa namna ya pekee ambayo ww mwenyewe unaweza usijue yawezekana ungepata mke ambaye si mama wa nyumbani hvyo ulivyo navyo usingekuwa navyo.
Pili,toka ulipoumbwa ww ndio aliyeambiwa kuwa utakula kwa jasho na sio mwanamke! .
 
Mkuu,

1. Kama una akili za "kivulana", "I bet you" utaachana na huyo mpenzi wako na kutafuta mwanamke mwingine ambaye ni mfanyakazi kama wewe, huku ukisahau miaka yote ambayo huyu mpenzio amekuwa nawe (maana kwa taarifa yako inavyoonesha, umekuwa nae tangu wakati ambao hukuwa na kitu, i.e. wakati wa shida)

• Ukifanya hivyo, hapo kuna mawili:
- Mtakuwa na "cost sharing" kwenye maisha yenu, au
- Hela yake hutaiona, ila utapaswa kumuhudumia maana ni mkeo ("obviously" wewe ni mume na baba/mkuu wa familia, hutakwepa hilo.
=> Hapo kwenye hili la pili, ndipo ugomvi baina yenu unaweza kuibuka, ukajikuta ukijuta au ukitafuta mbadala mwingine (nadhani unaelewa ninachomaanisha).

• Pia hela yake unaweza kuiona, lakini ndani ya nyumba kusiwe na upendo wala amani (ugomvi wa kufikia na hapa hata mwanya wa usaliti huweza kupenya).

Hilo nalo ni la kutafakari.

2. Kama una akili za "kiuanaume", utamchagua huyu mpenzi wako wa sasa aliyeweza kukuvumilia kwa wakati wote wa shida mpaka raha "from zero to hero"..

• Hapa ngoja nikwambie kitu, kama changamoto ya mpenzi wako ni kutokuwa na kazi, unaweza kumuanzishia hata biashara, ikaingiza kipato pia wakati wewe ukiendelea na kazi.

• "If you want a perfect wife, you should create a perfect wife.." Kama unafahamu, siku zote duniani "No body is perfect". Suala la tabia za mpenzi wako ni suala ambalo naamini linazungumzika, unaweza kumuweka chini na kumsihi ajirudi ili mtengeneze familia mkuu. Maana kumpata mwanamke wa kukuvumilia tangu wakati wa kutokuwa na kitu mpaka sasa umekuwa mtu kati ya watu, "I bet you" kwa ulimwengu wa sasa utasota haswa.

Yanayozungumzika yazungumzeni, samehe na sahau, msonge mbele na maisha.

Ila mkuu, haya niliyokwambia ni maoni yangu tu, wala si sheria..

Naomba kuwasilisha..
 
wajingawajinga kma wewe mmezoea kuwanyanyasa wadada wa watu simply hawajui haki zao.... mnawageuza viburudisho mkishalizika mnawabwaga.......sio mbaya saaana and uko sawa kabisa and una uhuru wa kumuacha coz sheria haikulazimishi kuoa mtu bila hiari yako ....ila ujuwe tu kwamba kwa vile umeamua kufata moyo wako pia uwe tayari kukabili na mambo mengine yanayohusiana na upuuzi wako wa kutumia wadada wa watu na kuwaacha...
section 160 of THE LAW OF MARRIAGE ACT

160. Presumption of marriage

(1) Where it is proved that a man and woman have lived together for two years or more, in such circumstances as to have acquired the reputation of being husband and wife, there shall be a rebuttable presumption that they were duly married.

(2) When a man and a woman have lived together in circumstances which give rise to a presumption provided for in subsection (1) and such presumption is rebutted in

any court of competent jurisdiction, the woman shall be entitled to apply for maintenance for herself and for every child of the union on satisfying the court that she and the man did in fact live together as husband and wife for two years or more, and the court shall have jurisdiction to make an order or orders for maintenance and, upon application made therefor either by the woman or the man, to grant such other reliefs, including custody of children, as it has jurisdiction under this Act to make or grant upon or subsequent to the making of an order for the dissolution of a marriage or an order for separation, as the court may think fit, and the provisions of this Act which regulate and apply to proceedings for, and orders of, maintenance and other reliefs shall, in so far as they may be applicable, regulate and apply to proceedings for and orders of maintenance and other reliefs under this section.
 
Nimeishi nae kama mume na mke uyu binti kwa miaka minne sasa,elimu yake ni kidato cha nne ivyo hakubahatika kuendelea na shule,ni mama wa nyumbani

Mimi nimebahatika kidogo nna kadegree japo kamoja na kakazi ka kujishikiza kidogo

Ndani ya miaka minne tumebahatika kununua gar na kujenga kabanda japo kadogo

Baada ya miaka minne ya kuishi nae sasa nataka kufanya maamuzi ya kufunga nae ndoa,lakini moyoni bado nna kitu kinanisumbua sana kitu chenyewe ni hiki

Wakati Mimi naaangaika na shule kwa ajili ya maisha ya baadae mwenzangu alikua anaangaika na mapenzi,starehe nyingi na out kibao na watu wazima

Jambo jingine ni kua yeye ni Mama wa nyumbani na Mimi ndo mtafutaji pekee kwaiyo maendeleo niliyokua Nayo sasa nahisi yangekua mbali zaidi kama ningekua naishi ma mfanyakazi mwenzangu kuliko uyu tegemezi

Pia umri wetu karibia sawa maana nimemzidi mwaka mmoja,hapa shida ni kua kwa nini nisiwe na kabinti kadogo kazuri kenye maisha yake kuliko uyu mtu mzima Mwenzangu alie ona mapenzi ni bora kuliko shule

Nawakilisha
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] ovyoo umemgegedu mtoto wa watu miaka yote tena bure bila kumlipia kwao alaf Leo wamuona hafai.Kama ulitak mfanyakz mwenzio kilikupeleka nn.Ningekuona wamaan ungemtafutia chuo au mtaji.Ila kwakuw umemchok mtafutie sababu bado moja hujasema
 
Duuh ipo siku utakua utajua kudhibiti tamaa yako ya mwili na macho. You want to justify your ill intention by soiling someone's reputation? Naona unafuata ile dhana ya "Ukitaka kumuua mbwa wako inabidi umpe majina mabaya".
 
Atakuwa n kamchepuko huyu c bure
 
Bora huyo aliepitia mikiki yote ya kidunia hatokusumbua ni bora uendelee nae tu huyo ndio wife sasa ana elimu ya wastani uki mpiga taff kidogo mtaongeza nguvu bro,acha tabia za kuchagua wanawake dunia hii kumsoma mtu haraka ni ngumu utakuja okota shetani kaka.
 
Back
Top Bottom