Naombeni ushauri ndugu zangu,rafiki zangu

Nimeishi nae kama mume na mke uyu binti kwa miaka minne sasa,elimu yake ni kidato cha nne ivyo hakubahatika kuendelea na shule,ni mama wa nyumbani

Mimi nimebahatika kidogo nna kadegree japo kamoja na kakazi ka kujishikiza kidogo

Ndani ya miaka minne tumebahatika kununua gar na kujenga kabanda japo kadogo

Baada ya miaka minne ya kuishi nae sasa nataka kufanya maamuzi ya kufunga nae ndoa,lakini moyoni bado nna kitu kinanisumbua sana kitu chenyewe ni hiki

Wakati Mimi naaangaika na shule kwa ajili ya maisha ya baadae mwenzangu alikua anaangaika na mapenzi,starehe nyingi na out kibao na watu wazima

Jambo jingine ni kua yeye ni Mama wa nyumbani na Mimi ndo mtafutaji pekee kwaiyo maendeleo niliyokua Nayo sasa nahisi yangekua mbali zaidi kama ningekua naishi ma mfanyakazi mwenzangu kuliko uyu tegemezi

Pia umri wetu karibia sawa maana nimemzidi mwaka mmoja,hapa shida ni kua kwa nini nisiwe na kabinti kadogo kazuri kenye maisha yake kuliko uyu mtu mzima Mwenzangu alie ona mapenzi ni bora kuliko shule

Nawakilisha
Mimi naona upo sahihi kipindi wewe unahangaika kutafuta elimu yy alikuwa anakula bata na kama ungemtongoza kwa kipindi hicho ulichokuwa unasoma asingeweza kukubali na angekuona kama unamchefua kwa sababu alikuwa anatembea wazee wenye. Na swali ni kwamba je toka ulipokaa nae kama mkewe alishawahi kukupa wazo lolote la kumfungua biashara na kama jibu n ndio bas anakufaa ila kama jibu ni hapana huyo hana faida kwako zaidi ya kuwa mzigo usiotulika
 
Mie napita mana ngumu kumeza, mana kama alikua anakusalit ungemweleza mapema na kama habadilik ungeachana nae ila kwa sasa una nyumba na gar ukimwacha ndugu zake watajua umemwacha kisa tayar unamaendeleo, pia kama ni mwanamke wakujitambua kutokusoma cyo Tatu, ungemfungulia duka au saluni au Ata akaanzisha sehemu shule ya nasar kuanzia miaka 3 anawafundisha mana najua kwa form 4 hawez shindwa wafundisha Hao watoto, hivyo jitahid kimfungulia mirad asimamie, Hao mabint wazur cjui wenye Kaz unaweza kubahatika pasua kichwa akala viela vyako akakuacha maskin pia wanaume unapokua na mahusiano ya kimapenz angalia moyo wako au nafs yako inasemaje juu ya huyo umpendae mana wengi taamaa Za mwili xinatuvutia badae tunakuja Sema Mara damu mbaya pia mwanaume unapoanzisha mahusiano angalia mbele, future yenu itakuweje, we umempenda goli kipa, maisha yakianza kua magumu unaanza mzarau, sasa utasaidiwaje, muoe huyo bint, mwanamke rahisi kumbadili tabia ila mwanaume ndio ngumu
 
Nazan utakuwa una undugu na Prof. Lipumba kwa akili hizo
 
Ningekushauri kabla ya kumuacha, umpe hilo gari lenu, hicho kibanda na fedha zote zilizomo kwenye Ac yako ya bank. Halafu utafute kabinti kazuri kwenye Maisha take mfunge ndoa. Hapo utakuwa umemtendea haki kidogo huyo mwanamke.
 
Huu mchezo hauhitaji hasira! Ngoja yamjute aje aombe ushauri kuwa msomi aliempenda mtoto mbichiii kamtenda!
 
Nimeishi nae kama mume na mke uyu binti kwa miaka minne sasa,elimu yake ni kidato cha nne ivyo hakubahatika kuendelea na shule,ni mama wa nyumbani

Mimi nimebahatika kidogo nna kadegree japo kamoja na kakazi ka kujishikiza kidogo

Ndani ya miaka minne tumebahatika kununua gar na kujenga kabanda japo kadogo

Baada ya miaka minne ya kuishi nae sasa nataka kufanya maamuzi ya kufunga nae ndoa,lakini moyoni bado nna kitu kinanisumbua sana kitu chenyewe ni hiki

Wakati Mimi naaangaika na shule kwa ajili ya maisha ya baadae mwenzangu alikua anaangaika na mapenzi,starehe nyingi na out kibao na watu wazima

Jambo jingine ni kua yeye ni Mama wa nyumbani na Mimi ndo mtafutaji pekee kwaiyo maendeleo niliyokua Nayo sasa nahisi yangekua mbali zaidi kama ningekua naishi ma mfanyakazi mwenzangu kuliko uyu tegemezi

Pia umri wetu karibia sawa maana nimemzidi mwaka mmoja,hapa shida ni kua kwa nini nisiwe na kabinti kadogo kazuri kenye maisha yake kuliko uyu mtu mzima Mwenzangu alie ona mapenzi ni bora kuliko shule

Nawakilisha

Ukiondoa hiyo picha ya avatar yako, akili zako zitajirudi na utaweza kufanya maamuzi sahihi
 
When a man is tired of his own rib, tries to injure himself and give that rib to someone else. For your case brother, allow me to write like a prophet.. That if you ever try to do that, you will never get another rib to fit you. So stay tuned to live in pain all the time. Ovaaaaaa
 
Mmmhhh nadhani huu sio wakati mzuri wakumtosa mwenzako, kwa maana ulishaona tabia zake mwanzoni na ulizivumilia hadi sasa , nabulijua anatoka na wanaume watu wazima lakini bado ulivumilia, basi nadhani uendelee kuishi naye mjenge familia,

Au labda useme tu unavutiwa na dogo dogo sasa hivi kwakuwa labda maisha umeyapatia, ila ukumbuke msoto ulipata na mama wa nyumbani , na ufikiri kwakua ni mama wa nyumbani basi hana mchango katika mafanikio yako ambayo unasema wewe ndio mtafutaji yeye anakaa tu nyumbani, bali ukweli ni kwamba anamchango mkubwa sana tu , hivyo tulizana tu hapo hapo
 
Kabinti kenye maisha yakee kwani kuna binti mwenye maisha ya mwenzieee wew ulishajichanganya kitambo unashtuka sahivi muoe laa sivyo ni ukatili fikiri we ndo ungekuwa binti ungependa kufanyiwa hiviii??????? Usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwenzioo OA huyohuyooooooooooooo
 
Pumbavu sana, umeishi naye miaka minne huku ukijua historia yake, kwa miaka minne umejenga na kununua gari na huyo huyo 4m4 halaf Leo unaleta kiburi,hao wasomi unaowatafuta wengine wanatamani kuoa hata darasa la saba pumbav sana
 
Kazi kweli kweli aiseee, ndio maana sipendi vijana wenzangu. Tabu tupu,sasa umekaa na mtu miaka minne halafu sasa hv unamuona mbaya duh.......Hujielewi kijana,kwa hali hii mtakuw mnaona watu wazima wanazidi kubeba mabinti maana vijana wengi hamjielewi.
 
Nimeishi nae kama mume na mke uyu binti kwa miaka minne sasa,elimu yake ni kidato cha nne ivyo hakubahatika kuendelea na shule,ni mama wa nyumbani

Mimi nimebahatika kidogo nna kadegree japo kamoja na kakazi ka kujishikiza kidogo

Ndani ya miaka minne tumebahatika kununua gar na kujenga kabanda japo kadogo

Baada ya miaka minne ya kuishi nae sasa nataka kufanya maamuzi ya kufunga nae ndoa,lakini moyoni bado nna kitu kinanisumbua sana kitu chenyewe ni hiki

Wakati Mimi naaangaika na shule kwa ajili ya maisha ya baadae mwenzangu alikua anaangaika na mapenzi,starehe nyingi na out kibao na watu wazima

Jambo jingine ni kua yeye ni Mama wa nyumbani na Mimi ndo mtafutaji pekee kwaiyo maendeleo niliyokua Nayo sasa nahisi yangekua mbali zaidi kama ningekua naishi ma mfanyakazi mwenzangu kuliko uyu tegemezi

Pia umri wetu karibia sawa maana nimemzidi mwaka mmoja,hapa shida ni kua kwa nini nisiwe na kabinti kadogo kazuri kenye maisha yake kuliko uyu mtu mzima Mwenzangu alie ona mapenzi ni bora kuliko shule

Nawakilisha
Ndugu yangu kwa dhati ya moyo wangu nakuomba usifanye kosa hilo. Hakuna uhusiano wowote kati ya kuoa msomi na maendeleo yako,believe me. Mke wa ndoa na hasa yule wa ujana wako ndio anaebeba baraka zako. Ndugu yangu jaribu kuwa mchunguzi.usibabaishwe na hao warembo unaowaona.
 
Nimeishi nae kama mume na mke uyu binti kwa miaka minne sasa,elimu yake ni kidato cha nne ivyo hakubahatika kuendelea na shule,ni mama wa nyumbani

Mimi nimebahatika kidogo nna kadegree japo kamoja na kakazi ka kujishikiza kidogo

Ndani ya miaka minne tumebahatika kununua gar na kujenga kabanda japo kadogo

Baada ya miaka minne ya kuishi nae sasa nataka kufanya maamuzi ya kufunga nae ndoa,lakini moyoni bado nna kitu kinanisumbua sana kitu chenyewe ni hiki

Wakati Mimi naaangaika na shule kwa ajili ya maisha ya baadae mwenzangu alikua anaangaika na mapenzi,starehe nyingi na out kibao na watu wazima

Jambo jingine ni kua yeye ni Mama wa nyumbani na Mimi ndo mtafutaji pekee kwaiyo maendeleo niliyokua Nayo sasa nahisi yangekua mbali zaidi kama ningekua naishi ma mfanyakazi mwenzangu kuliko uyu tegemezi

Pia umri wetu karibia sawa maana nimemzidi mwaka mmoja,hapa shida ni kua kwa nini nisiwe na kabinti kadogo kazuri kenye maisha yake kuliko uyu mtu mzima Mwenzangu alie ona mapenzi ni bora kuliko shule

Nawakilisha

Sasa unataka tukuambie mwache au nini hasa lengo lako mlikutana wawili umemchomea 4yrs alaf ghafa umemchoka
 
4yrs ndo mana watu wanakataga tamaa ya kuolewa na kuoa kwa ajili ya kutendwa huku
 
Ukiona unaishi na mwanamke na maendeleo yanasonga jua na baraka zake zipo ndani ya mafanikio yako,
Mke hachokwi,
 
Back
Top Bottom