Naombeni ushauri nahitaji kufunga umeme wa solar

Bass spka iliyo uchi 150
booster 150
crossover 100
box 60
power supply 40
ufundi 50
tweeter inategemea mwnyw unataka zp unaweza nunua hata used tu
huu mzk ni mzk hasaa
Mh naona 700 ikiungua...hii inazidi sonny 1000w?
 
kaka kuna kampuni inaitwa zola wale wanakopesha vifaa vyote vya sola unalipa kidogodogo ulipaji ni kama kununua unit tu za umeme hutajuta betri zao uhakika majira yote nina mwaka 4 huu sijawahi unguza hata kitu wala betri kusumbua
 
Wale jamaa bei zao mkasi kabisa mimi sitaki kulipa nusu nusu
 
kaka kuna kampuni inaitwa zola wale wanakopesha vifaa vyote vya sola unalipa kidogodogo ulipaji ni kama kununua unit tu za umeme hutajuta betri zao uhakika majira yote nina mwaka 4 huu sijawahi unguza hata kitu wala betri kusumbua
zola na sunking hamna ktu usimdanganye pale hamna ktu.
Kwny inshu ya betri na panel mobisol hana mpnzani
tena namshauri asthubutu kukopa eti analipa kdogo kdogo anunue cash
 
Kaka ushauri ni mwingi sana aseee nashindwa nishike wapi ila naona jamaa wa mwanza ananishauri vema maana mimi nataka umeme mzuri
nilikwambia nicheck 0735429104
takupa ushauri na tutakwenda wote madukani takwambia betri na vfaa vyake ksha tutakwenda nikufungie utanpa hela yng ya ufundi
 
Habari Ndugu zanguni?

Mimi nahitaji nitumie umeme wa solar maana nilipoweka makazi umeme wa tanesco haujafika.
Nataka nitumie
i) Taa (04)
ii) Kuchaji Simu (07)
iii) Sabufa (01) tu .

Je, napaswa ninunue solar gani na betri gani? Na nahitaji nipate mafundi wazuri wakunifungia vifaa hivyo. Pia nahitaji niwe natumia inverter na resistanca ili kuuweka umeme stable.

Ushauri Wenu naombeni.
Nunua solar watts80
Battery N50 AU N70
charger control
Extension
Umemaaliza kazi hapa hata tv unawashwa
JPEG_20210321_132130_162822983163801913.jpg
JPEG_20210321_132210_1255114113776964555.jpg
 
nilikwambia nicheck 0735429104
takupa ushauri na tutakwenda wote madukani takwambia betri na vfaa vyake ksha tutakwenda nikufungie utanpa hela yng ya ufundi
Mkuu nishakuelewa nahitaji kumaliza hii mission mwezi wa nne sema niliweka mazingira.
 
zola na sunking hamna ktu usimdanganye pale hamna ktu.
Kwny inshu ya betri na panel mobisol hana mpnzani
tena namshauri asthubutu kukopa eti analipa kdogo kdogo anunue cash
Hayo mavifaa yao yakuwa nalipia siyataki mimi sitaki deni nataka vifaa vyadukani .
Na siyo lazima nitumie system ya zola au mobisol.
 
Upo wapi? Naweza kukufanyia system design, supply ya material na kukupa fundi mzuri akafanya installation kwa gharama nafuu. check picha hizo ya moja ya kazi nilizokwisha kufanya.
 
Attachments

  • WhatsApp Image 2022-03-11 at 2.54.50 PM.jpeg
    WhatsApp Image 2022-03-11 at 2.54.50 PM.jpeg
    111.1 KB · Views: 23
  • WhatsApp Image 2022-03-11 at 2.54.52 PM.jpg
    WhatsApp Image 2022-03-11 at 2.54.52 PM.jpg
    56.4 KB · Views: 21
Bass spka iliyo uchi 150
booster 150
crossover 100
box 60
power supply 40
ufundi 50
tweeter inategemea mwnyw unataka zp unaweza nunua hata used tu
huu mzk ni mzk hasaa
Ila makorokiro Mengi, au tuma picha mkuu.
 
Back
Top Bottom