Naombeni ushauri nahitaji kufunga umeme wa solar

wiring moja tu, analaza waya wa 2.5 mm² kwa lights na power circuits

kwenye DB anaweka Change-Over Switch mchezo umeisha, izo zote ni gharama za mara moja

kuliko kutumia Inverter za efficiency za ovyo milele, na hutapata ile 'Pure Sine Wave'
Yaani kiongozi wangu naomba niseme jambo , mimi nahitaji umeme ambao hata nikiweka simu yangu chaji iwe faster kwenye kupeleka chaji , na siyo ianze kukokota zaidi ya masaa 10 ndo ijae kwangu naona ni mtihani hapo.
 
Wala siko kibiashara ila ni swala la kuelekezana tu, huo mfumo wako simu atachajia wapi?
Lakini ndugu naimani huwezi kunipoteza kwani nikitumia inveter kipi kitaniponza au umeme utakwenda mwingi sana ?

Maana mimi sielewi kuhusu hayo maswala
 
Ukichaji kwa kutumia chaja control ina power kubwa tu ya kujaza smart yoyote ile aende dukan anunue chaja cntrl 10ampia ambayo ina mdomo wa kuchajia cm hapo kuna power ya kutosha kbs.

Nishawahi kutest iko slow mno.
 
  • Thanks
Reactions: PYD
Betri nzuri tafuta ya rita ng au za kenya

Achana na matakataka ya sundar.
Solar panel chukua 100 watts bei haizd 180
betri ya rita 80n bei haizd 250
chaja control digital 10 ampia bei haizd elf 35

Ili uwe na uhakika zaid wa moto kama uko poa vuta panel ya 200watts yan hapo hata mvua inyeshe mwez mzma.

Nipo mwanza uktaka nishrikishe twende dukani tununue vifaa vyote nikakufungie utanipa hela ya maji

0735 429 104
 
Pia kwa wale wapenz wa mzk mzto sn
ninaweza kukufungia ndan mzk wa kufa mtu
unaoweza tumia ac na solar
hapo nakufungia woofer nzto spka unanunua ya sony exploid au semton zle wanazofunga kwny magari
unainunua iliyo uchi box tunakwenda kwa fund nampa design ambayo ile spk ikiwa ndan haionekan kbs unaskia muungurumo tu
unanunua crossover 7 bands zle wanazofunga kwny gari
unanunua booster kuanzia 500-1000watts zle wanazofunga kwny gari
kama unatumia solar tu umemalza hapa
zaid utaongeza tweeter tu
kama unatumia umeme wa tanesco utanunua power supply ya computer au transformer ampia kuanzia 10

Nnaposema mzk ni mzk kweli hao kna seapiano wakasome
0735 429 104
npo mwanza
 
Shukrani mkuu , tutawasiliana nami niko mwanza
 
Yaani mkuu kama nilivyoeleza hapo juu hakuna kinachoongezeka , kuhusu subwoofer yangu nataka iwe original siyo hizi za kichina
 
Pia kwa wale wapenz wa mzk mzto sn
ninaweza kukufungia ndan mzk wa kufa mtu
unaoweza tumia ac na solar
hapo nakufungia woofer nzto spka unanunua ya sony exploid au semton zle wanazofunga kwny magari
unainunua iliyo uchi box tunakwenda kwa fund nampa design ambayo ile spk ikiwa ndan haionekan kbs unaskia muungurumo tu
unanunua crossover 7 bands zle wanazofunga kwny gari
unanunua booster kuanzia 500-1000watts zle wanazofunga kwny gari
kama unatumia solar tu umemalza hapa
zaid utaongeza tweeter tu
kama unatumia umeme wa tanesco utanunua power supply ya computer au transformer ampia kuanzia 10

Nnaposema mzk ni mzk kweli hao kna seapiano wakasome
0735 429 104
npo mwanza

Hapo inakuwa bei gani? Kwa matumizi ya Umeme?
 
Back
Top Bottom