Naombeni kujua hili katika umeme wa solar

Bulichekah

Member
Jan 12, 2014
68
186
Wandugu nawasalimu sana na poleni na pilika za hapa na pale. Nilinunua Inverter ya wati 3000 used ya Taiwan miaka miwili iliyopita na sasa ninahamia maeneo yasiyo na umeme wa grid hapa Dodoma.

Naombeni msaada kwamba ili nitumie hiyo Inverter natakiwa Solar Panel ngapi, za wato ngapi na ni aina ipi ya panel ni nzuri. Na pia ninatakiwa nitumie betri ngapi za wati ngapi na aina ipi nzuri ya betri.

Lengo langu ni kupata umeme wa kuanzia Wati 2500 - 3000.

Nisaidieni ndugu zanguni.
 
Kazi ya invertor ni kuubadili umeme kutoka DC kwenda Ac ambao hutumika majumbani kama huu wa tanesco,na kwa ukubwa wa hiyo invertor yako ni kubwa kutosha matumizi ya vifaa vya majumbani tutumiavyo.

Ili uweze kuelewa ni lazima uangalie kifaa chochote ukiwekacho kwenye invertor kisizidi watts 3000,Mara nyingi pasi ndio inazidigi kufikia watts 1500 Ila friji za kisasa hizi kama boss unakuta zina watts 150 hata ikifika 300 so mbaya kwa umeme ubadilishwao ni mwingi.

Kwahiyo ujanja wake hesabu utumiavyo labda TV,friji, radio, pasi, simu kama kwa muda mmoja visizidi watts 3000, basi vitafanya kazi vzr tu tabu je una betri za kutosha? kutosha matumizi yako pindi zikituka maana.

kwa mfank, betri ya Watts 100 ikibadilishwa yaweza toa unit 1 point 2 sasa ukiwa nazo walau nne maana yake ni unit 4.8 je nitakidhi mahitaji yako? na gharama ya betri kwa pale Dom kwa hizo watts 100 kwa makampuni kama ritar,voltmax si chini ya laki mbili na 80 na panel si chini ya laki mbili kwa watts 100 hivyo soral ni aghali.

nikushauri tafuta panel tu ya watts 120 moja na betri ya watts 100 au 120 walau uwe unaangalia tv taarifa ya habari usije lala Giza pia waweza tumia na balbu hata 10 safi kabisa Ila invertor yako ili ifanye kazi lazima upate betri mbili kama watts 100 basi ziwe 2 tena ziwe kampuni moja kubalance current, usiniulize maswali zaidi sio fundi ni mdau wa soral ujuzi nimeupata baada ya kulala gizani.
 
Inverta ya watt 3000 kwa matumizi ya nyumbani gharama yake bora uingize umeme wa tanesco. hapo itakucost kwenye betri,uwe na betri N100 kama tano hivi uziconnect pamoja na solar panel watt 100 mbili. Tafuta panel ya wat 100 na betri N100 kama mbili hivi charger control moja. Na inverter watt 300 na sio 3000. Piga waya nyumba yako waya wa taa connect kuanzia kwenye charger control na inverta pia connect hapo kwenye charger control.
 
Mimi huu mchezo nishawaifanya kabla kuvuta umeme funga
Panel wat 100/150
Betrii funga N 160/200/ pc /2
Chaja controller mp/ 70
Hapo utakua unatumia full time
 
Habari mkuu ningependa kujua haya kabla sijakupa size ya panel unayopaswa kuwa nayo kwanza tuambie batteries zako ni AH ngapi kama bado hujanunua batteries na unataka nikufanyie sizing basi niambie Laods zako ni zipi utazotumia ikiwa interms of wattage would probably more better.
Batteries zipo aina nyingi kutegemea na mfuko wako ila kuna batteries fulani za RITAR ni lead acid ziko vizuri tu tuambie pia hio inverter yako ina built in charge controller za specifications gani tuweke model ya hio inverter tupitie hio user manual yake.
 
Wandugu nawasalimu sana na poleni na pilika za hapa na pale. Nilinunua Inverter ya wati 3000 used ya Taiwan miaka miwili iliyopita na sasa ninahamia maeneo yasiyo na umeme wa grid hapa Dodoma.

Naombeni msaada kwamba ili nitumie hiyo Inverter natakiwa Solar Panel ngapi, za wato ngapi na ni aina ipi ya panel ni nzuri. Na pia ninatakiwa nitumie betri ngapi za wati ngapi na aina ipi nzuri ya betri.

Lengo langu ni kupata umeme wa kuanzia Wati 2500 - 3000.

Nisaidieni ndugu zanguni.
Ngoja nitulie nitarudi.
 
Kazi ya invertor ni kuubadili umeme kutoka DC kwenda Ac ambao hutumika majumbani kama huu wa tanesco,na kwa ukubwa wa hiyo invertor yako ni kubwa kutosha matumizi ya vifaa vya majumbani tutumiavyo.

Ili uweze kuelewa ni lazima uangalie kifaa chochote ukiwekacho kwenye invertor kisizidi watts 3000,Mara nyingi pasi ndio inazidigi kufikia watts 1500 Ila friji za kisasa hizi kama boss unakuta zina watts 150 hata ikifika 300 so mbaya kwa umeme ubadilishwao ni mwingi.

Kwahiyo ujanja wake hesabu utumiavyo labda TV,friji, radio, pasi, simu kama kwa muda mmoja visizidi watts 3000, basi vitafanya kazi vzr tu tabu je una betri za kutosha? kutosha matumizi yako pindi zikituka maana.

kwa mfank, betri ya Watts 100 ikibadilishwa yaweza toa unit 1 point 2 sasa ukiwa nazo walau nne maana yake ni unit 4.8 je nitakidhi mahitaji yako? na gharama ya betri kwa pale Dom kwa hizo watts 100 kwa makampuni kama ritar,voltmax si chini ya laki mbili na 80 na panel si chini ya laki mbili kwa watts 100 hivyo soral ni aghali.

nikushauri tafuta panel tu ya watts 120 moja na betri ya watts 100 au 120 walau uwe unaangalia tv taarifa ya habari usije lala Giza pia waweza tumia na balbu hata 10 safi kabisa Ila invertor yako ili ifanye kazi lazima upate betri mbili kama watts 100 basi ziwe 2 tena ziwe kampuni moja kubalance current, usiniulize maswali zaidi sio fundi ni mdau wa soral ujuzi nimeupata baada ya kulala gizani.
kwanza betri hazipimwi kwa watts hiyo ni current measured in amps
 
Wandugu nawasalimu sana na poleni na pilika za hapa na pale. Nilinunua Inverter ya wati 3000 used ya Taiwan miaka miwili iliyopita na sasa ninahamia maeneo yasiyo na umeme wa grid hapa Dodoma.

Naombeni msaada kwamba ili nitumie hiyo Inverter natakiwa Solar Panel ngapi, za wato ngapi na ni aina ipi ya panel ni nzuri. Na pia ninatakiwa nitumie betri ngapi za wati ngapi na aina ipi nzuri ya betri.

Lengo langu ni kupata umeme wa kuanzia Wati 2500 - 3000.

Nisaidieni ndugu zanguni.
Hapo unatakiwa utafute betri N 120,00 ILI invetor yako uifurahie pannel ya solar unaweza kutafuta hatta ya watt 80 ili iwe inajaaza haraka hiyo betri

sent from toyota Allex
 
Kazi ya invertor ni kuubadili umeme kutoka DC kwenda Ac ambao hutumika majumbani kama huu wa tanesco,na kwa ukubwa wa hiyo invertor yako ni kubwa kutosha matumizi ya vifaa vya majumbani tutumiavyo.

Ili uweze kuelewa ni lazima uangalie kifaa chochote ukiwekacho kwenye invertor kisizidi watts 3000,Mara nyingi pasi ndio inazidigi kufikia watts 1500 Ila friji za kisasa hizi kama boss unakuta zina watts 150 hata ikifika 300 so mbaya kwa umeme ubadilishwao ni mwingi.

Kwahiyo ujanja wake hesabu utumiavyo labda TV,friji, radio, pasi, simu kama kwa muda mmoja visizidi watts 3000, basi vitafanya kazi vzr tu tabu je una betri za kutosha? kutosha matumizi yako pindi zikituka maana.

kwa mfank, betri ya Watts 100 ikibadilishwa yaweza toa unit 1 point 2 sasa ukiwa nazo walau nne maana yake ni unit 4.8 je nitakidhi mahitaji yako? na gharama ya betri kwa pale Dom kwa hizo watts 100 kwa makampuni kama ritar,voltmax si chini ya laki mbili na 80 na panel si chini ya laki mbili kwa watts 100 hivyo soral ni aghali.

nikushauri tafuta panel tu ya watts 120 moja na betri ya watts 100 au 120 walau uwe unaangalia tv taarifa ya habari usije lala Giza pia waweza tumia na balbu hata 10 safi kabisa Ila invertor yako ili ifanye kazi lazima upate betri mbili kama watts 100 basi ziwe 2 tena ziwe kampuni moja kubalance current, usiniulize maswali zaidi sio fundi ni mdau wa soral ujuzi nimeupata baada ya kulala gizani.

We kulala gizan ni sawa kabisa ...hujui hzi vitu current watts na voltage ....hakuna battery ya solar iko measured in watts sasa hiyo betri ya watts 100 sinui we umeitoa wap afu unasema betri ya watts mia inatoa unit moja ...na unit ni thousand watts sasa hizo 1.2kwh zimetoa wap kwa kwa betri ya watts mia .....

Kingne kutumia kitu huna uelewa nacho ni mbaya sabahu hizi SLA batterys efficiency ni 80% means huruhusiwi tumia more than 80% ya its rated capacity manake kwenye battery ya hundred amps usable ni 80amps we umepiga hesabu ya yote

Kingne solar ya watts mia kwa siku inaeza weka ampia 58 kwenye battery ya ampia 100 ....hapo inaonesha mismatching kati ya battery na solar hiyo battery haiwez jazwa na hiyo solar kama inatumika kila siku results ni kufupisha life cycle ya battery hivo kupeleka kulala giza
 
Ili kufahamu size ya mfumo utakaokidhi mahitaji yako, ni muhimu kujua walau jumla ya matumizi yako ya umeme. Baada ya kufahamu matumizi yako kinachofuata ni kufanya sizing ya mfumo wako kisha supply ya material na mwisho ni ufungaji wa mfumo. Nicheck whatsapp kwa hii namba +255626409973 nikusaidie kwenye hilo
 
Back
Top Bottom