Paprika
JF-Expert Member
- Feb 25, 2017
- 5,950
- 9,880
Jamani!!! Thats too sad!!! Moyo umeniuma kweli...
Mpe pole na jaribu kumuweka karibu... Hilo tendo linaweza muathiri maisha yake yote!!!
Mpeleke akapime afya pia kama mbakaji hakutumia kinga (sijui wanatumiaga???).
Ingekua mapema angeweza shtaki ila kwa sasa sijui afanye nini!!!