apprentice1997
Senior Member
- Jun 8, 2016
- 107
- 99
- Thread starter
- #21
Miaka 20Una umri gani.. Isije na Sie tukakubaka na ushauri wetu.. Ukashindwa hata kumaliza Shule..
Miaka 20Una umri gani.. Isije na Sie tukakubaka na ushauri wetu.. Ukashindwa hata kumaliza Shule..
Kwani mimi nimekwambia tufanane msimamo?I don't care...mtizamo wangu sio lazima ufanane na wa kwako..
BTW JF ni jukwaa huru
Huna huruma wewe huna tofauti na ibilisimkifeli mitihani mnalaumu masomo magumu....
BTW kubakwa kashabakwa na hamna namna tena ya kuirudisha hiyo bikira tena..Labda mwambie aweke bikira feki uifaidi maana naona una uchungu nayo sana
HayaNimeuita ni ujinga kwa sababu ni mtazamo wangu pia na nina sababu zangu......Chenye maana yeye atachukua...kama anaona hakimfai anapotezea..
[HASHTAG]#usinipangie[/HASHTAG]
Huyo MTU alimbaka alipanga nyumba moja na Dada ake ambae alikuwa ameolewa na anaishi na familia yake hapo Siku ya tukio Dada ake mume wake walisafiri so alikuwa peke yake na huyo jamaa na sababu wanashea mlango mmoja wa nyumba ndo mana hilo tukio likafanyika, ameshindwa kureport sababu ya aibu hapendi familia yake na watu wengine wajue baada ya Dada ake kurudi huyo jamaa nae alihama. Na hilo tukio halijarudia tena baada ya hapo, ninamfahamu vizuri kitabia na ninajua asingeweza kunidanganya na hadi anaamua kuniambia Mimi sikuwa nimemuomba tufanye ngono yeye ndo aliniomba aniambie. Kitu kizuri hajapata ujauzito ila bado hajapima HIV pia alinambia hakupata magonjwa yoyote ya ngono.Mmmmmmmmmh
Pole kwako, labda uandike amekuambia yapi zaidi. Na juu ya dada yake alichukuliaje yaliyomtokea na anaishije na huyo jirani kwa kumuona kila siku etc
Hata yeye anaumia sana na anamchukia ila hawezi Fanya chochote inaumiza sanaHuyo jamaa ningehakikisha anakaa ndani selo hadi familia yake imsahau
Hatujawah fanya hicho kitendoMpenzi wako akati nyapu bado pata!!,?
Basi ni rafiki yakoHatujawah fanya hicho kitendo
Hawezi hata kuniruhusu nifanye hvyo na hata nikienda hakuna ushahidiFANYA MPANGO UKALIPOTI POLISI UTAPATA MSAADA ZAIDI.
Hahahahahahaha yani hujui hata maisha yangu yalivyo halafu unasema sina huruma...nakusikitikia ndugu yangu..Huna huruma wewe huna tofauti na ibilisi
Kama hauna cha maana upite siwezi kujivunia kitendo kama hicho kwa mwanamke yoyoteBasi ni rafiki yako
Hapana na haijalishi pia..Cha msingi endelea kumpa jamaa ushauri ambao unaona ni mzuri kwake halafu mambo mengine yaendelee mkuu.Kwani mimi nimekwambia tufanane msimamo?