Naombeni ushauri: Mpenzi wangu amebakwa

Naombeni ushauri: Mpenzi wangu amebakwa

Kama hamna cha kuchangia afadhali mkae kimya. Haya matukio yanatokea sana. Wasichana wanabakwa na watu waliowazoea na kuwaamini. Hata kama ni stori ya kutunga kuna cha kujifunza hapa.

Kwasababu ushahidi (forensic) kwa muda huu ushapotea, atashtaki vipi? Ataeleweka vipi? Haya ndio mambo tunapaswa kujifunza na wapo watu wazoefu wa mambo haya humu, wewe kama hujui au huoni umuhimu wa thread kama hii kwanini usipite kimya tu?
mbona unalia si amemwagiwa kimoja tu hakina madhara
 
Nina mpenzi wangu wote tunasoma A level ana miaka 19, tuna date sasa mwaka wa 3 tulikubaliana tusisex hadi itutakapokuwa tayari, tunapendana na tuna mipango mingi future. Jana wakati tuna chat alinambia kuwa mwezi wa 12 alipokuwa likizo alibakwa na mpangaji anayekaa nyumba moja na Dada yake na kumsababishia apoteze usichana wake.

Mwanzoni nilipaniki nikidhani labda alinicheat ila baada ya kuniambia vizuri ninamuonea huruma sana kwa sababu nina muamini yeye ni mcha Mungu sana na alikuwa anatunza usichana wake sababu ana hofu ya Mungu na hakupenda kumpa zawadi ya usichana wake mtu ambaye amembaka.

Bahati mbaya hakureport hilo tukio kokote Jana ndio akaamua aniambie mimi ukweli. Nimejaribu kumbembeleza asahau yote nimeshindwa na ninaumia kwa kuwa ni mtu ninayempenda sana na mwezi wa 5 anatakiwa afanye mtihani wa form six.

Please naombeni ushauri nimsaidie vipi kwa kuwa hata familia yake haijui chochote ameamua kuniambia mimi ili angalau moyo wake utulie.
Msaidie kwa ushauri ili asije kujiua
 
Chunguza kama ni kweli alifanyiwa hivyo,usikote ameongea hivyo ili siku ukikuta sio bikra uwe ushajua kuwa she was raped,wanawake wanawake
Umeongea pointi mkuu..!!!
Wanawake wana akili sana
Kuna mmoja miaka ya nyuma alishanambiaga bikra nikaanza kughalimia matumizi kila tukikutana anagoma kutoa mchezo eti mpaka amalize form 6 nikasema poa hatukufika mbali akaanza story kama hizo eti siku nikikuta hana bikra nisimfikirie vibaya alibakwa na mtoto wa shangazi yake akiwa likizo kwao..!
Kwa kuwa nawajua wanawake vizuri sikupaniki niliomba nipewe tu hivyohivyo nikakuta bwawa la mtera kwa hasira nami nikamtoa bikira ya nyuma.!
 
Back
Top Bottom