Naombeni ushauri: Mpenzi wangu amebakwa

Naombeni ushauri: Mpenzi wangu amebakwa

Nina mpenzi wangu wote tunasoma a level ana miaka 19, tuna date sasa mwaka wa 3 tulikubaliana tusisex had tutakapokuwa tayari, tunapendana na tuna mipango mingi future. Jana wakati tuna chat alinambia kuwa mwezi wa 12 alipokuwa likizo alibakwa na mpangaji anayekaa nyumba moja na Dada yake na kumsababishia apoteze usichana wake.

Mwanzoni nilipaniki nikidhan labda alinicheat ila baada ya kunambia vizuri ninamuonea huruma sana kwa sababu Nina muamini yeye ni mcha mungu sana na alikuwa anatunza usichana wake sababu ana hofu ya mungu na hakupenda kumpa zawad ya usichana wake MTU ambaye amembaka.

Bahati mbaya hakureport hilo tukio kokote Jana ndio akaamua aniambie mm ukweli. Nimejaribu kumbembeleza asahau yote nimeshindwa na ninaumia kwa kuwa ni MTU ninayempenda sana na mwezi wa 5 anatakiwa afanye mtihan wa form six.

Please naombeni ushauri nimsaidie VP kwa kuwa hata familia yake haijui chochote ameamua kuniambia Mimi ili angalau moyo Wake utulie.

Simwamini hata kidogo. Mwongo huyo.
 
Tatizo dogo anamtetea kwa kila hali... Yupo tayari hata kugombana na wanaomshauri! Sikiliza dogo mwanamke hata umjue vipi they're very tricky! Huyo alipitiwa na ibilisi.. Kwa vile anakuona you are a real good boy.. Amekuja na hii kitu! Ni mwongo.. Wewe Piga kitabu Safari ya hizo Mambo bado Sana utakutana na sarakasi kali zaidi mbeleni huko. Na wala usijipe hope kuwa my be utamwoa no! Hizo ni ndanganyana time za school tu... The real deal bado Sana!
Hahahaha chalii yuko blinded na mapenzi ya ki secondary yani hataki elewa kaka zake tunaomwambia ukweli eti. Namuonea huruma anadanganywa kizembe na kuna kubwa zaidi litamfika huyo demu wake akishaanza chuo.Time will tell!
 
Kumbe ililikua haina haja ya kuomba ushaur sababu ushajishaur tayar,maana unahisi kabakwa kweli,basi endelea kuamini hivyo hivyo ila chunga sana huko mbeleni asije akakuona mshamba wa mapenzi ukabaki unamwaga machozi,life la chuo ndo kipimo cha akili katika mapenzi dogo,mapenzi ya sekondari ni sawa na kuweka maji kwa koroboi ukihisi itawaka,wakifika chuo hawa bado ukonae dah rudi kwa bibi fanya tambiko
 
Kama hamna cha kuchangia afadhali mkae kimya. Haya matukio yanatokea sana. Wasichana wanabakwa na watu waliowazoea na kuwaamini. Hata kama ni stori ya kutunga kuna cha kujifunza hapa.

Kwasababu ushahidi (forensic) kwa muda huu ushapotea, atashtaki vipi? Ataeleweka vipi? Haya ndio mambo tunapaswa kujifunza na wapo watu wazoefu wa mambo haya humu, wewe kama hujui au huoni umuhimu wa thread kama hii kwanini usipite kimya tu?

Ila bado ana nafasi ya kuripoti na mhusika akachukuliwa hatua!
 
We hujamuelewa mpenzi wako,amekwambia alibakwa kwa sababu yeye ni Mwanafunzi ila walikubaliana!.....Au umesahau Hairuhusiwi mapenzi na wanafunzi Nchini kwetu?
 
We dogo huyo manzi anakupanga, hajabakwa wala nini ila amekuandaa kisaikolojia tu. Mtoto wa kike halafu denti kuishi katika mazingira hayo ya kipangaji na kuna msela jirani ni nadra sana asiwe analiwa hasa kama wanashea apartment na demu akiwa anabanwa sana na dadaake.Hii ina maana jamaa ndio company yake mara nyingi hasa akitoka kwenye mishe zake ama siku za weekend na kuna uwezekano mkubwa ni mtu anaeheshimika sana na dada wa huyo demu wako hivyo huachiwa jukumu la kumlinda demu wako pia wakiwa hawapo aidha wamesafiri n.k.

Tushafanya sana hio michezo na mwisho kutiana kimasihara mara kukimbizana, mara kumwagiana maji, mara kutenkenyana mtoto anashikwa kiuno tu anacheka cheka, mara ngwala na mwisho nyege hufanya maamuzi. Ni mpeke tu...na hapo kuna dalili zote kuwa gemu ya kwanza ilipigiwa kwenye kochi lao kubwa lile.

Uzuri wa gemu zinazoanza kienyeji huwa ni tamu mno na hazinaga mkataba rasmi hivyo unajipigia unavyotaka tu kadri mazingira yanavyoruhusu na vile mnakaa nyumba moja ndio dah, hii inaashiria demu wako ameshachapwa nao sana toka muda alokwambia amebakwa regardless ndio alitolewa bikra au la ila kwa sasa jamaa ndio kashahama hilo eneo so hawatakuwa wanonana kirahisi. Ndio maana katoa ripoti ya kinafiki tu tena very late ila kwa kuwa unampenda utaamini ndio ilivyo.

So dogo kuwa makini, na huo niliokupa ndio uhalisia wa kilichotokea. Ni wewe tu kuchagua kusuka au kunyoa mwisho wa siku ukiprove haya niliokwambia kwa huyo demu wako.
 
Nina mpenzi wangu wote tunasoma a level ana miaka 19, tuna date sasa mwaka wa 3 tulikubaliana tusisex had tutakapokuwa tayari, tunapendana na tuna mipango mingi future. Jana wakati tuna chat alinambia kuwa mwezi wa 12 alipokuwa likizo alibakwa na mpangaji anayekaa nyumba moja na Dada yake na kumsababishia apoteze usichana wake.

Mwanzoni nilipaniki nikidhan labda alinicheat ila baada ya kunambia vizuri ninamuonea huruma sana kwa sababu Nina muamini yeye ni mcha mungu sana na alikuwa anatunza usichana wake sababu ana hofu ya mungu na hakupenda kumpa zawad ya usichana wake MTU ambaye amembaka.

Bahati mbaya hakureport hilo tukio kokote Jana ndio akaamua aniambie mm ukweli. Nimejaribu kumbembeleza asahau yote nimeshindwa na ninaumia kwa kuwa ni MTU ninayempenda sana na mwezi wa 5 anatakiwa afanye mtihan wa form six.

Please naombeni ushauri nimsaidie VP kwa kuwa hata familia yake haijui chochote ameamua kuniambia Mimi ili angalau moyo Wake utulie.
Ni kweli kuna ubakaji upo ila wasichana wengi waliowaaminisha wapenzi wao Ni mabikira kumbe Ni kinyume chake husingizia nilibakwa akijua cku siyo nyingi ataenda kubainika kuwa cy bikira nimeisikia Mara nyingi has a Dada zangu wanao sali kwani inawawia vigumu kusema bikra Hanna.
 
Bro huyo manzi wako anatafuta huruma ili siku ukitaka kula tunda kwa mara ya kwanza usistuke. Fanya utafiti kimya kimya ujiridhishe uone kweli alibakwa au lah.
 
Form six bikra?????
Wewe jamaa ni zuzu.
Form six bikra ni mmoja kati ya mia moja
 
Sikuhizi vitoto vya kike vya 16-20 vinaongoza kuwa na ngenyeko kubwa afu nasikia ni vitamu sana, kwahyo brother we ushapigiwa tuuu anakuaminisha ili siku usipomkuta na bikra usiulize... Usilete mambo ya kanisani kwenye ngenyeko utaikuta imekuwa sufuria la kupashia maji ya kuoga.
 
Back
Top Bottom