Naombeni ushauri kwa yaliyonikuta

Naombeni ushauri kwa yaliyonikuta

Wadau nipo hospitali mwanamke niliyetegemea awe mke wangu nilienda kazini jana saa saba mchana narudi namkuta yupo na chupa za bia kanikasirikia.

Jion bila kuaga akaondoka, akarudishwa na men saa nane namuuliza kanipiga chupa ya bia kichwani.

Ukitoka tuwasiliane na sisi tumbake jamaa yake mbele ya huyo demu wako, alafu huyo demu wako tumpumulie kisogoni jamaa akiwa anaona
 
!
!
ungeandika kabla hujaenda hospitali....ungeenda ukachukua rb polisi kisha unaenda kutibiwa baadae unamfungulia mashtaka ya kujaribu kukua,unamfunga hata miaka miwili mitatu. Hiyo ni mada atempt hiyo komaa nae.
 
Back
Top Bottom