Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,110
yeahkwa mimi naona sawa tu
umeona sawa, inafaa u date na mtu flan ambaye hatambui anacho kifanya bas
yeahkwa mimi naona sawa tu
Ni vizuri kila mmoja akaheshimu mawazo yake tu... Kama Mimi nisemavyo sio sawa kabisa...kwa mimi naona sawa tu
Ha ha ha Haaaa!kwenda huko , yani wewe umgonge mtoto wa watu, umpikilishe kwenye jiko lako la kuinama plate moja, akufulie afanye usafi na bado unalalamika kutumia hela yako ya emergency ,... kama unataka kumfaidi kaoe huko ,,.. yani nadhani mimi ungekuwa umeshaandika thread ukiunganisha nikitabu cha page 300, we soma kwanza jijenge halafu oa acha hayo mambo wacha akugombeze kabisa na kukutoboa hayo macho
sikubaliani na wewe basi wewe jikubalie mwenyewe na mimi huku nijikubalie mwenyewe.. hayaNi vizuri kila mmoja akaheshimu mawazo yake tu... Kama Mimi nisemavyo sio sawa kabisa...
Mkuuu naomba unishauli yy leo anarudi saa tatu usiku vipindi vyake vitakuwa vimeisha Mimi vipindi vimeisha nipo geto now je kigentromen nioshe vyombo na nipike au nikausheMwenza wa kiume huwa anaweza kabisa kumsaidia mwenzake kazi out of goodwill sio kwa sababu mwanamke kadindisha.Kama hujamwoa anadindisha je ukimuoa?
Jiongeze....
Muulize ukimuoa hatoleta mgomo?Mbona hela za matumizi na lotion anachukua?
kabisa mkuuyeah
umeona sawa, inafaa u date na mtu flan ambaye hatambui anacho kifanya bas
pika, osha vyombo, deki na akija mlale mkuu acha kuwasikiliza hao nakuambia utampoteza huyo demuMkuuu naomba unishauli yy leo anarudi saa tatu usiku vipindi vyake vitakuwa vimeisha Mimi vipindi vimeisha nipo geto now je kigentromen nioshe vyombo na nipike au nikaushe
Kwa kweli umeshikika...Mkuuu naomba unishauli yy leo anarudi saa tatu usiku vipindi vyake vitakuwa vimeisha Mimi vipindi vimeisha nipo geto now je kigentromen nioshe vyombo na nipike au nikaushe
[emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] c ndio! Heshimu mawazo yako... Nami ntaheshimu ya kwangu.... Hahahahahaaaaa... Jf ni raha sana!sikubaliani na wewe basi wewe jikubalie mwenyewe na mimi huku nijikubalie mwenyewe.. haya
na huyu jamaa si muamini hivi lazima ata osha vyombo hivo, sjuagi watu hua wana waza ni i kwenye mahusiano wakat wanaziona red flags kabsaUnajua wengi humu ndani wana masihara mengi.. .huyu mwenzetu anayo Nia ya kumfundisha mtarajiwa wake namna ya kupambana na maisha,... Kwani wangapi wanaishi miaka kibao na kuzaa watoto bila hiyo mahari.... Huyo Mke kaegesha tu hapo, anatembea na ramani yake mwenyewe
mzungumze1st to ......
ndiyo kila mtu aheshimu ya kwake ha hahaha[emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] c ndio! Heshimu mawazo yako... Nami ntaheshimu ya kwangu.... Hahahahahaaaaa... Jf ni raha sana!
Jibu ni hakufai huyo mwanamke maana hii Mara ya pili unalalamiki kuhusu yeye.Ada mwiko kulipa mkuuu hela za matumiz ntatoa swali ni je ananifaaa kuwa mke