Naombeni ushauri kwa huyu mwanamke

Naombeni ushauri kwa huyu mwanamke

Kibovu kaka, hapo huna mke. Kwanza hana fadhila, wanawake wote humu watamtetea mwenzao lakini ukweli ubaki kuwa ukweli huyo hakufai. Kile kitendo cha kukaa naye tu geto kwa mwanamke muungwana wewe usingejifulia, kupika wala kuosha vyombo wala kuhangaika na usafi labda ukipenda mwenyewe. Hapo hata ukimchumbia jua akipata kazi huna chako atakupuuza.

Maana keshasema akipata kazi ataondokana na hayo mambo. Huyo hakupendi, yupo kwako kwa sababu unamsaidia naye amejitoa rehani kutumika kimapenzi kwa kipindi hiki mpaka mambo yake yatakapokaa sawa.
Ushauri wangu achana naye.
We don't beg, we negotiate.
Asante mkuuu Upo vzr kwakweli
 
halafu nyie walimu ndo tunategemea mtufundishie watoto wetu??? ushamkazaaa mtoto wa watu halafu unadai emejensi balance.....demu mwenyewe wa mkuranga...mzaramo au.....?? pesa zinahifadhiwa bank tuuu......soma dogo achana na madem....pasua kichwa hao....
 
Brooo huyo mke utaumiza kichwa sana na kamwe hamtaoana kwani kama kakwambia niheli hapate kazi haachane na hizi shida dhahili yupo kwa sababu nakuomba muache kisela na usiangalie kuwa kitandani yukoje kitu kinachoitajika kwenye mahusiano na ndoa ni amani upendo na furaha basi maswala ya kitandani mtafundishana ndg
 
Back
Top Bottom