Naombeni ushauri kwa huyu mwanamke

Naombeni ushauri kwa huyu mwanamke

Kwann mnawapa wanawake kila kitu mbona mnakaribisha kudharauliwa..kila siku tunaimba humu ukimpa mwanamke kila kitu mwisho wa siku dharau ila hamuelewi *****...sasa tulia akwambie ulikuwa unajikomba yeye hakuwa na shida ya na huduma zako..
Mhuuu
 
mkuu kibovu unamhudumia wakati bado hujamuoa kwani wewe babake?..wewe mtimue kisha tafuta kidada kizuri cha kujinufaisha..kwa vile hela si tatizo kwako waweza ukaajili mfanyakazi awe anasaidiasaidia kwenye shughuli za getoo
Asante kiongoz kwa ushauli wako
 
pika, osha vyombo, deki na akija mlale mkuu acha kuwasikiliza hao nakuambia utampoteza huyo demu
Ni bora kumpoteza, kuliko kukumbatia miba.....
Kuna vitu vinapokua sio, si vema ukang'ang'ana navyo, utapa matatizo
Miezi sita inatosha kumsoma mtu....
 
Mkuuu nilikaa nae siku moja nikamuambia nikikuoa utakuwa unanihudumia kila kitu akasema ntakuhudumiaa aswaa
Mkuu.. huyo ashaonyesha makucha mapemaa.. Kile kitendo cha kukuambia mungu nisaidie nipate kazi niondokane na hili tatizo!! Maana yake ni kuwa wewe humfai... Anaishi na wewe kwa vile hana jinsi.. Isipokuwa anakutumia tu ili atimize malengo yake!.. Achana na blabla za kuwa ukinioa nitakuhudumia kila kitu noo hiyo ni blackmail mkuu.. Wake up.. Huyo sio wako... Ana malengo yake!
 
Huo ndo ukweli mgumu km na wewe mwanamke kumbuka wanaume waliokuwa bingwa wa kukupa kila kitu km uliwapa thamani km wanayokupa..ni upuuzi kubwa sn ambao mwanaume anaweza kufanya kwa mwanamke hasa mpenzi ambae bado ht hajamuoa
 
bro huyo hafai, sasa wanao sema eti ndio uka muoe kabsa wanataka wakuue, miez sita tu kasha kuzoea sasa mkikaa miaka 10 atakuwa anafanyaje!? halaf kuishi na mtoto wa kike aliye chuo kama hujamuoa huji kumuoa huyo, kesi kama zako nazifahamu nyingi sana.
fanya mpango aondoke au wewe uondoke
[emoji817] [emoji818]
 
Pole sana kijana kwa kile kinachokusibu.
Huyo dada ambae unamuita mke wako mtarajiwa.
.
kwanza upo nae kwa sababu ya vijisenti unavo miliki kwa sasa.
.
Maana ile nguvu ya kummliki ipo chini sana kiasi cha chini ya 35..
.
Haiwezekani mwanamke akagongwe, apeleke mzigo kwa msela arafu unatoa macho eti nilikuwa kwa dada. ivi akili yako ina akili?
.
Kama hutaki kuharibu maisha yako ya baadae. [emoji116]
.
ACHANA KABISA NA HUO UPUPU, TUPA MBALI ACHA.
SOMA KWA BIDII, MALIZA SHULE UTAPATA YULE ALIEIDHINISHWA NA MUNGU KWAKO.
.
ni hayo tu.
 
Ndugu zangu nimekuwa ndugu yenu nikiishi na mwanamke geto huku wote tukiwa ni wanafunzi wa vyuo tofauti hapa dsm but Mimi nimekuja kimasomo tukaanzisha mahusiano taaluma yangu ni mwalimu


Ndugu zangu nimeishi na binti huyu Geto moja namhudumia kila kitu ispokuwa ada tu. Mbali na ualimu mimi ni mfanyabiashara kipato changu kwa mwez sio chini ya milioni moja.



Ndugu zangu juz Dada yake aliugua huko mkuranga akapata taarifa akaniambia tukiwa geto naenda mkuranga nikamuambia mpe Pole shem akasema sawa akaniomba nauli nikampa elfu kumi akaondoka.


Siku za nyuma nilimpa laki moja kwa ajili ya Emergency yoyote sio matumiz ya nyumbani.

Amerudi nikamuuuliza naomba ile laki niliyokupa ananiambia imetumika kwa dada yake imebaki elfu50 nikamuambia mbona unapewa majukum makubwa ilihali ww mwanafunz na ikumbukwe kuwa dada yake huyo kaolewa na jamaaa akanijibu kwa hiyo umechukia pesa yako kutumika huko nikamjubu ww ni mwanafunz hupaswi kupewa majukum makubwa akanijibu nimetumia kwa matumiz yangu mwenyewe ww kwani huna matumiz? Nikamuambia Kwanzia Leo emergency money ntazishika mwenyewe na of course Nilikuwa nataka zikifika laki5 nimpeleke Zanzibar tukaenjoy kwa sababu matumiz kila kitu nakamilisha kuanzia lotion, spray, nk. Kwa hiyo kuna pesa huwa napata kwenye biashara nikiona mapato mazr Kias nampa hata laki 2 au3 ashike lakini nimekuwa nakuta zimepungua.


Jana amerudi toka mkuranga amekuta vyombo vichafu kama alivoviacha ameanza kunigombeza umeshindwa kuosha vyombo kuanzia leo ntakuwa sipiki nimemjibu kuwa majukum ya kaz za ndani ni ya mwanamke akaniambia ww hujanilipia Mahalia sisitahili kukupa huduma zote. Akawa kachukia nakusema hatanipikia chakula na wadau nimeishi na huyu binti miez sita nikimhudumia kila kitu kanifulia nguo zangu mara mbili tu.
Tulipoamka asubuhi baada yakunipa ile elfu hamsini nikampa elfu kumi akaicha kitadani tukaondoka kwenda kupanda daladala


Naomba ushauri juu ya hili je ananifaa huyu binti kuwa mie?
Kaka mkubwa huyu tayari hafai maana hapo tu ndo mwanzo mmeoana je!! Ogopa sana mwanamke wa kasumba hiyo sasa huyo mkifunga ndoa na akiwa tayari ni mfanya kazi yaani utaishi maisha kama vile ww ndo umeolewa..
 
Pole sana kijana kwa kile kinachokusibu.
Huyo dada ambae unamuita mke wako mtarajiwa.
.
kwanza upo nae kwa sababu ya vijisenti unavo miliki kwa sasa.
.
Maana ile nguvu ya kummliki ipo chini sana kiasi cha chini ya 35..
.
Haiwezekani mwanamke akagongwe, apeleke mzigo kwa msela arafu unatoa macho eti nilikuwa kwa dada. ivi akili yako ina akili?
.
Kama hutaki kuharibu maisha yako ya baadae. [emoji116]
.
ACHANA KABISA NA HUO UPUPU, TUPA MBALI ACHA.
SOMA KWA BIDII, MALIZA SHULE UTAPATA YULE ALIEIDHINISHWA NA MUNGU KWAKO.
.
ni hayo tu.
Mkuuuu kiukweli Dada yake alikuwa mgonjwa na alinipigia video call
 
Me naona wewe ndo una tatizo mkuu, ingawa hata yeye huenda pia akawa nayo.
 
Mkuuuu kiukweli Dada yake alikuwa mgonjwa na alinipigia video call
Angalia aya ya tatu kama siyo ya nne.
ili mwanamke uishi nae kwanza lazima umtawale kiakili.
KWANGU MIMI SIWEZI BISHANA NA MWANAMKE KWENYE HAYA MAMBO.
.
kupika
.
kufua
.
kudeki.
.
na mambo kama hayo kwa wingi wake.
.
vinginevo awe ana umwa tu ndiyo ntafanya mm kama mbadala wake.
.
kwa huyo binti ili uishi nae lazima akutawale
.
maana si saizi yako.
.
BASI
 
Angalia aya ya tatu kama siyo ya nne.
ili mwanamke uishi nae kwanza lazima umtawale kiakili.
KWANGU MIMI SIWEZI BISHANA NA MWANAMKE KWENYE HAYA MAMBO.
.
kupika
.
kufua
.
kudeki.
.
na mambo kama hayo kwa wingi wake.
.
vinginevo awe ana umwa tu ndiyo ntafanya mm kama mbadala wake.
.
kwa huyo binti ili uishi nae lazima akutawale
.
maana si saizi yako.
.
BASI
Mkuuu upo sahihi kiongoz nimekupenda bule
 
Mkuuuuu kweli mwanaume wako apike aoshe vyombo ww upo na mnaishi geto 1that's stupid
Mimi nashangaa kwa kweli kama huyo demu wako ni mwanachuo chuoni anakwenda saa ngapi? na anarudi saa ngapi? ukijumlisha tabu ya usafiri na foleni za Dsm? anarudi kachoka bado hajafanya asaimenti. hapo hapo akupikie, akufulie nguo, asafishe nyumba, aoshe vyombo na usiku upate mgegedo kama mkeo?

unamchosha mwenzio hatimaye atafelI bure? Hebu muache asome kwanza kwani mshika mbili moja humponyoka.
 
Back
Top Bottom