Naombeni ushauri kwa huyu mwanamke

Naombeni ushauri kwa huyu mwanamke

Kama mmekaa miezi sita unaishi nae Kama mkeo, ukimtimizia huduma zote, alipaswa akutendee kadri ulivyomtendea...huyo hakufai, atakuhangaisha sana. Dogo ndoa ukikosea kuoa utajuta. Mwanamke mjanja huficha makucha yake awapo ktk uchumba, sasa Kama huyo ameshindwa kipindi hiki, kwenye ndoa atakuua kwa pressure
 
Ada mwiko kulipa mkuuu hela za matumiz ntatoa swali ni je ananifaaa kuwa mke
Siwezi kusema kuwa anafaa au hafai kwa visa viwili hivi vya kugoma kazi na kususa.
Ila kwanini usimchumbie ili afue vizuri?Maana kiupande wako unawajibika kama mme,upande wake anakataa kutoa baadhi ya service za mke kwa kuwa hujamchumbia,ila ni kama aina maana kwani alitegemea akija hapo atakuwa analala tu?Ni dalili ya kiburi huenda ikabadilika.Lakini kama ndio tabia yake pole sana...mrekebishe.Mchumbie
 
Mkuuu umeongea pointi kubwa sana manake baada ya mahojiano nae Jana akasema yaaani mungu anisaidie nipate kaz niachane nahaya mambi
 
kweli wew ni bovu kama avatari yako inavyoeleza..acha kulialia chukua hatua...
 
Kama mmekaa miezi sita unaishi nae Kama mkeo, ukimtimizia huduma zote, alipaswa akutendee kadri ulivyomtendea...huyo hakufai, atakuhangaisha sana. Dogo ndoa ukikosea kuoa utajuta. Mwanamke mjanja huficha makucha yake awapo ktk uchumba, sasa Kama huyo ameshindwa kipindi hiki, kwenye ndoa atakuua kwa pressure
Mkuuu umeongea pointi kubwa sana manake baada ya mahojiano nae Jana akasema yaaani mungu anisaidie nipate kaz niachane nahaya mambo
Siwezi kusema kuwa anafaa au hafai kwa visa viwili hivi vya kugoma kazi na kususa.
Ila kwanini usimchumbie ili afue vizuri?Maana kiupande wako unawajibika kama mme,upande wake anakataa kutoa baadhi ya service za mke kwa kuwa hujamchumbia,ila ni kama aina maana kwani alitegemea akija hapo atakuwa analala tu?Ni dalili ya kiburi huenda ikabadilika.Lakini kama ndio tabia yake pole sana...mrekebishe.Mchumbie
Sasa mkuuu naomba unishauli yy Leo drsn anatoka saa tatu usiku Mimi nimeshatoka ili nionekane gentlemen nioshe vyombo na nipike au nikaushe
 
kwenda huko , yani wewe umgonge mtoto wa watu, umpikilishe kwenye jiko lako la kuinama plate moja, akufulie afanye usafi na bado unalalamika kutumia hela yako ya emergency ,... kama unataka kumfaidi kaoe huko ,,.. yani nadhani mimi ungekuwa umeshaandika thread ukiunganisha nikitabu cha page 300, we soma kwanza jijenge halafu oa acha hayo mambo wacha akugombeze kabisa na kukutoboa hayo macho
yaani jamaa ana muhudumia kwa kila kitu, na hela ya emergenc imeliwa, bado afanye kazi za ndani!?
thats pathetic!!!
 
Yaani umuhudumie kila kitu afu alete za kusema ujamuoa.... Yy anafanya nn hapo nakama ajaolewa hela za matumizi anachukua za Nn?? Maan wanawake wanasema eti unamtumia yani wanajidharaulisha kwann isiwe waseme tumetumiana
 
Mkuuu umeongea pointi kubwa sana manake baada ya mahojiano nae Jana akasema yaaani mungu anisaidie nipate kaz niachane nahaya mambo
Sasa mkuuu naomba unishauli yy Leo drsn anatoka saa tatu usiku Mimi nimeshatoka ili nionekane gentlemen nioshe vyombo na nipike au nikaushe
Mwenza wa kiume huwa anaweza kabisa kumsaidia mwenzake kazi out of goodwill sio kwa sababu mwanamke kadindisha.Kama hujamwoa anadindisha je ukimuoa?
Jiongeze....
Muulize ukimuoa hatoleta mgomo?Mbona hela za matumizi na lotion anachukua?
 
Mkuuu umeongea pointi kubwa sana manake baada ya mahojiano nae Jana akasema yaaani mungu anisaidie nipate kaz niachane nahaya mambi
Unajua wengi humu ndani wana masihara mengi.. .huyu mwenzetu anayo Nia ya kumfundisha mtarajiwa wake namna ya kupambana na maisha,... Kwani wangapi wanaishi miaka kibao na kuzaa watoto bila hiyo mahari.... Huyo Mke kaegesha tu hapo, anatembea na ramani yake mwenyewe
 
Ada mwiko kulipa mkuuu hela za matumiz ntatoa swali ni je ananifaaa kuwa mke
bro huyo hafai, sasa wanao sema eti ndio uka muoe kabsa wanataka wakuue, miez sita tu kasha kuzoea sasa mkikaa miaka 10 atakuwa anafanyaje!? halaf kuishi na mtoto wa kike aliye chuo kama hujamuoa huji kumuoa huyo, kesi kama zako nazifahamu nyingi sana.
fanya mpango aondoke au wewe uondoke
 
Kutumia pesa ya emergency co vibaya ninacholaumu kwann hakukuambia kwmba atatumia hy pesa
Rekebishaneni mlipokoseana maisha yaendelee
 
hachana nae mkuu! Hugo hakufai, mshukuru Mungu umejua Tabia yake mapema!
 
Mwenza wa kiume huwa anaweza kabisa kumsaidia mwenzake kazi out of goodwill sio kwa sababu mwanamke kadindisha.Kama hujamwoa anadindisha je ukimuoa?
Jiongeze....
Muulize ukimuoa hatoleta mgomo?Mbona hela za matumizi na lotion anachukua?
Una mawazo yalokomaa..
 
Mkuuu nilikaa nae siku moja nikamuambia nikikuoa utakuwa unanihudumia kila kitu akasema ntakuhudumiaa aswaa
 
Back
Top Bottom