Naombeni Ushauri kuna mtu amenitishia

Naombeni Ushauri kuna mtu amenitishia

Swala dogo Sana! Mfate mida ya saa nane usiku gonga mlango wake jitambulishe kwajina lako analokufaham akitoka mwambie nimekuja sijapenda kukusumbua unitafute! Hakufanyi chochote asipojibu Mfate tena mida Ile Ile usiku fululiza mara 3! Utakuja kunishukuru
Mmmh! Mhhhh!!??? Mbona itakuwa kama dogo anatafuta makuu?Saa nane usiku??? Je, itasomekaje hapo endapo mwamba akataka kum-naniliuu? Ushauri huo ni wenye mashaka makubwa mno. Bora asifanye hivyo aisee. Ni hatari sana.
 
Ondoa mashaka na wasiwsi kabisaaaa Hana ishu huyo watu wa michezo tunajua!
 
Yaap tena unapodeal namvuta Bangi jua unadeal na chizii lolote anakufanyia, imagine unampeleka police kwa kukufokea hapo week tatu zilizopita alipelekwa kwa tuhuma za kubaka/kukaba pengine,police watachukulia poa then Jamaa akitoka anakuonesha show zake🤣🤣
 
Wakuu kwema.

Nimekuwa nikiishi kwa amani sana mpaka pale nilipoenda kupanga mtaani,
Kuna mpangaji mgeni ila inaonekana yeye ni mwenyeji hapa mtaani , ni mvutaji bangi mkubwa mno, utulivu hakuna.

Juzi natoka zangu kampas nakuta mtu kanisubiri akisema nimeiba kitu chake ambacho hata mimi sikijui kwakweli,
Kaukuza ugomvi anasumbua sana.
Nasasa kasema atanifanya kitu kibaya kwakweli amekuwa akinitishia sana, ukizingatia pia jamaa ana magenge ya wavuta bangi wenzake, na wala huwezi kuzungumza naye akakuelewa anapiga kelele tu.

Wakuu naombeni msaada wa kimawazo, sijawahi kutishiwa hivi, Siwezi kuhama kwasababu nimelipa kodi ya miezi nane pia sina hela. Siwezi kuishi nahofia usalama wangu hivi
Mchukulie RB na umwambie kabisa hata kama ukijikwaa wewe mwenyewe bahati mbaya atawajibika au main suspect atakuwa ni yeye
 
Nunua toy lile linalofanana kabisa na mguu wa kuku ,lichomeke kwa suruali upandishe kidogo tshit ili lionekane makusudi, halafu jipitishe kwa kujiamini mbele yake bila kumsemesha chochote.
Hahahahaaa! Wee unataka dogo ajibebeshe mwenyewe kesi. ?
1. Kujifanya anamiliki silaha i.e. analeta Taharuki miongoni mwa Jamii, anazusha jambo la Uongo lisilo la Kweli.
2. Kumtishia Uhai wa maisha huyo mvuta bangi.
BTW: Kesi zinazohusu silaha na umilikaji wake huwa ni ngumu na zinachukua muda mrefu tena hazina dhamana.
Watakuja kujua ilikuwa ni toy wakati dogo ameshasota kwa muda mrefu mahabusu au wanaweza kubamdilishia kibao ikaonekana ilikuwa ni silaha kweli. UsiwaUderestimate Polisi na wala Usiwatie Majaribuni.
 
Sawa POT 😁😁
 
Yaap tena unapodeal namvuta Bangi jua unadeal na chizii lolote anakufanyia, imagine unampeleka police kwa kukufokea hapo week tatu zilizopita alipelekwa kwa tuhuma za kubaka/kukaba pengine,police watachukulia poa then Jamaa akitoka anakuonesha show zake🤣🤣
Kabisa. Hoja ya kumripoti Polisi labda ndo iwe ni ya mwisho kabisa kabisa i.e. kama Chaneli zingine zote zimefeli.
 
Wakuu kwema.

Nimekuwa nikiishi kwa amani sana mpaka pale nilipoenda kupanga mtaani,
Kuna mpangaji mgeni ila inaonekana yeye ni mwenyeji hapa mtaani , ni mvutaji bangi mkubwa mno, utulivu hakuna.

Juzi natoka zangu kampas nakuta mtu kanisubiri akisema nimeiba kitu chake ambacho hata mimi sikijui kwakweli,
Kaukuza ugomvi anasumbua sana.
Nasasa kasema atanifanya kitu kibaya kwakweli amekuwa akinitishia sana, ukizingatia pia jamaa ana magenge ya wavuta bangi wenzake, na wala huwezi kuzungumza naye akakuelewa anapiga kelele tu.

Wakuu naombeni msaada wa kimawazo, sijawahi kutishiwa hivi, Siwezi kuhama kwasababu nimelipa kodi ya miezi nane pia sina hela. Siwezi kuishi nahofia usalama wangu hivi
Labda kahisi umemchukuli dem wake .
Ila watu wa hivyo ukimwona pita kati kati yake bila woga tena jiamini uone kama yeye hajahama mtaani hapo
 
Sikia mzee dawa ya watu kama hao tembea na kisu na akileta za kuleta mmpelekee kweli usela mavi Sasa hivi haupo Kila mtu kadata maisha yenyewe magumu haya
 
Bhana, Polisi wana mambo mengi. Wanaweza kuanza kukugeuza ww ni ATM yao, wanaweza kukuharibia zaidi na jambo hilo likachukua sura mpya kabisa likakufanya ww uwe ndo unawindwa na wasiojulika kila siku. Hebu fanya hivi: Watafute marafiki zake huyo mvuta bangi e.g. ukimpata ambaye ni boda itakuwa ni nzuri zaidi, halafu uwe na urafiki nao. Watakusaidia sana na mtaa utaupenda.
Ni ushauri mzuri pia.
 
Yan ww na mtoa mada wote watoto wamama hunakosa kwann uhonge pesa kama siyo umama na uzaifu huo nyie ndo mnagongewa mademu zenu kizembe sana
Kwani shida iko wapi, jamaa kashasema hataki ugomvi unataka nimshauri nini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom