KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,769
- 39,536
Huyo jamaa hana hiyo back up anakutishia tu....... mwanaume wa kweli hana vita ya maneno ikiwa ana uwezo wa kufanya tukio......Huyo jamaa ni mvuta bangi na ana magenge yake sasa hapo mkuu nakaaje na amani
Huyo amekuona wewe ni mdhaifu na unatetemeka kila akikoroma ndio maana anakunyanyasa.......
Narudia tena....
Stand your ground as a man.......
Ilishawahi kunitokea mitaa ya manzese miaka mingi nyuma na nilipewa ushauri kama huu na baadae yule jamaa akawa rafiki yangu........
DUNIA NI KATILI KWA WANAUME WAOGA NA WENYE HOFU.........
ONLY THE STRONG CAN SURVIVE