Wala usiwaze umri ni namba tu.Habari za Asubuhi wakuu
Kwanza kabisa mm binafsi sijawahi kutoa post yoyote kwenye jukwaa hili ila Leo nimekuja kuomba ushauri, Mimi ni msichana mwenye miaka 25 nipo mbeya kikazi, mnamo Mwaka huu mwez wa 2, nilikutana na mwanaume tukaanza mahusiano na majuzi ameniweka wazi nia yake ya kutaka twende kwa wazazi akatoe mahali, Mimi sijamkatalia nimemwambia anipe muda , but the thing is yeye Ana umri mkubwa Kama 14 years mbele yangu, na Ana mtoto mmoja ,.. Naombeni ushauri wakuu nifanyeje au kwa wazazi huwa wanachukuliaje kumpeleka mchumba aliekuzid umri hivo .. Asanten
Umri sio ishu chukua babu huyo akupe maisha achana na vijana. Mpaka amalize ujana kwanzaAge is just a number, kama mnapendana, basi Songeni mbele, mbona mwenye IPP kamzidi mwenzake 30 years? Wewe 14 tu?
Unaweza zeeka wewe na ye ukamuachame nawaza uko mbele tu.
atakufa na kuniacha mjane muda mrefu.
ataingia uzeeni mapema, kudili na wazee inahitaji moyo.
atachoka mapema na kuacha Yale tuliyozoea kufanya wakati mimi bado nguvu zipo eg.outings
chumbani itakuwa majanga
kipendacho roho.....
me nawaza uko mbele tu.

Chumbani itakuwa majanga?? Unapenda dyudyu kwa wingiee?!!me nawaza uko mbele tu.