silasc
JF-Expert Member
- Feb 10, 2013
- 3,347
- 1,987
Nakumbuka siku moja tukiwa tumelala. Nilimwangalia wife akiwa amelala nikajisemea moyoni "...nina mke mzuri anayejitambua, kwanini nahangaika na mchepuko..." nilitafakari kesho yake nikapiga chini mchepuko.
Angalizo: wanaume tuhakikishe upendo haupoi na kuwa mazoea kwa wenzi wetu.
Angalizo: wanaume tuhakikishe upendo haupoi na kuwa mazoea kwa wenzi wetu.