whatsapp online
Member
- Jan 17, 2017
- 86
- 95
- Thread starter
- #61
Nadhani umenipa jibu ambalo sikutegemea. Ntafanya hivyo mkuu, afu ntarudisha ushahidi humu ndani. Akinitoka moyoni sitakurupukia tena michepuko dizaini yake. Maana ana ni bachela wa kike, mwenye mtoto mmoja. Inawezekana humu jf yumoEbwanaeee pole kwanza mzee mwenzangu. Ushauri wangu ni huu. Mchukue mkeo toka naye mazingira ya nyumbani mwende mkalale hotelini. Then mweleze ukweli na mpigie magoti kumwomba msamaha na umwambie hurudii tena. Nakuhakikishia utarudi kunipa majibu
kabla sijakunasua..