Naombeni ushauri kuhusu hawara yangu

Naombeni ushauri kuhusu hawara yangu

Jamani mimi nina mke tena mzuri wa tabia na watoto, namheshimu kwa sababu ananipenda na kunijali. Kama mada ilivyo, tangu mwaka jana nilikutana na dada mmoja anafanya kazi serikalini nikatokea kumtamani sana. Kama mwanaume nikakomaa nikampata akawa hawala yangu mpaka sasa. Kuna kila dalili kuwa hanipendi lakini kwa sababu nilishamuweka moyoni nashindwa kumwacha na mara nyingi ananijibu anavyojisikia. Huwa nakasirika lakini kwa sababu kwa majibu yake lakini nikitaka kumjibu najiuliza sana, anaweza kuniacha... lakini mwishowe naamua kuuchuna. Hivi siku mbili zilizopita tulikosana hakunitafuta mpaka nilipomtafuta nikaamua kujishusha ili yaishe. Sio hilo tu, mara nyingi tu ananijifanya yeye ndio kidume mimi chini yake. Wanawake wengine wananiambia kwa nini nahangaika na huyo mwanamke, (ambao wao wanamwona hana uzuri) wakati mke wangu ni mzuri? Siwaelewagi naona kumpoteza ntateseka sana moyoni.
NAOMBENI USHAURI NIFANYE NINI ILI NIMCHUKULIE POA? NAUMIA SANA HATA LEO TUMENUNIANA NAE
Acha u Bushoke wewe...baki na mkeo achana na Nungayembe hilo.....Ukimwi bado upo......
 
mkuu nakushauri ni vzr ukampotezea ili uwe karbu na familia yako!
 
We jitie wehu tu hivyo hivyo!! Ngoja akuzawadie ngoma ili akili ikukae sawa...
Yaani kabisa unaomba ushauri juu ya hawara...fala sana wewe!.
 
Mkeo unasema mzuri tu kitabia na kila kitu unawatoto anakuheshimu ila unamchukulia poa sana ngoja kibao kigeuke kwako ajue madudu yako you will know her dark side Mkuu.Chunga sana unapotea kwa kweli
 
sasa hapa umeandika kitu gani we BASHITE original haswaa
 
Shetani mbaya mweeeeh! Kakuingiza kwenye uzinzi sasa anakutesa na hujitambui umeng'ang'ana kama ruba. Fikiria kujitoa hapo kuzimu acha uzoba wewe!
 
Nipe namba za Mkeo niendelee kukutunzia wakati ukiendelea kwanza kupambana na Noma ya Hawara.

Ukimaliza utamkuta mama yuko salama.

Fal.a kweli, Yaani Una Mke Na Watoto Kabisa Unaomba Kushauriwa Kuhusu Hawara? Nunua na ARVs kabisa
 
Kesharekebishwa huyu!huoni sababu ya kumpenda lakini umekomaa nae?ushakuwa msukule wake since day ulipochovya kwenye chungu chake,pole sana bila kumrudia Mungu wako itaendelea kuwa msukule wake hadi uchanganyikiwe.
 
Ushauri gani?huwa sikuzote nasema ukimiliki ujinga KW mda mrefu unakuwa upumbavu
 
Matusi hayatamsaidia maana c yy tu hlo lmewakuta weng huwez jua nn kafanyiwa na huyo mwanamke. Najua kupenda na maumivu yake n makali sn. Kwanza futa namba yake kabsa, pl kua bze na mkeo, watoto na kaz, mwsho kwa iman yako mludie Mungu na tubu. Kimbia sn weng tumeharbikiwa na hao wapuuzi.
 
Jamani mimi nina mke tena mzuri wa tabia na watoto, namheshimu kwa sababu ananipenda na kunijali. Kama mada ilivyo, tangu mwaka jana nilikutana na dada mmoja anafanya kazi serikalini nikatokea kumtamani sana. Kama mwanaume nikakomaa nikampata akawa hawala yangu mpaka sasa. Kuna kila dalili kuwa hanipendi lakini kwa sababu nilishamuweka moyoni nashindwa kumwacha na mara nyingi ananijibu anavyojisikia. Huwa nakasirika lakini kwa sababu kwa majibu yake lakini nikitaka kumjibu najiuliza sana, anaweza kuniacha... lakini mwishowe naamua kuuchuna. Hivi siku mbili zilizopita tulikosana hakunitafuta mpaka nilipomtafuta nikaamua kujishusha ili yaishe. Sio hilo tu, mara nyingi tu ananijifanya yeye ndio kidume mimi chini yake. Wanawake wengine wananiambia kwa nini nahangaika na huyo mwanamke, (ambao wao wanamwona hana uzuri) wakati mke wangu ni mzuri? Siwaelewagi naona kumpoteza ntateseka sana moyoni.
NAOMBENI USHAURI NIFANYE NINI ILI NIMCHUKULIE POA? NAUMIA SANA HATA LEO TUMENUNIANA NAE
Kama ukiambiwa usimnganganie na unawaona washauri wabaya ., humu umefata nn. Au unataka tuungane na wewe kumpenda
 
Usikilizie moyo wako ndiyo jibu sahihi. Furaha ya moyo ni kitu ghari kukipata.
Usiache furaha yako ipotee huyo dada muoe awe mke mdogo, wasikukatishe tamaa mkuu. Pia epuka tabia ya kuwahusisha watu katika maamuzi yako coz usipokuwa na msimamo unayumba.
Usikilize Moyo wako.
 
Back
Top Bottom