Naombeni ushauri katika hili

Unbelievable khs dogo sina shaka coz nilishampeleka kwa wazazi na walikubali ni wangu. Thats why iam confident of my daughter. Isitoshe haya majanga yalianza baada ya kuwa mjamzito tuu.
 
Kwa uvumilivu huo, mie nakushauri ukachukue fomu ccm utie nia.

Otherwise, hebu tafuta kazi mbali na mkoa mnaoishi ili mpeane space kwanza. Halafu muishie hapo. Usimuage hata unaenda mkoa gani, manake atakulazimisha kukufuata.
 
Mkuu,wanawake wapo wengi sana!Mimi nilipitia kama yako,unfortunately nilimuoa yule mwanamke,kilichokuja kunipata na kinachonipata mpaka sasa, NAJUTA KUMFAHAMU! kuwa makini muda wa maamuzi ni sasa! Najua kumuacha ni kazi ngumu but jitahidi coz mapenzi yanahusiana na uhai mojakwamoja!
 
MO11 hapa nilipo nishaandaa proposal ya kumuacha, nilikuwa nasubiri angalau mtoto akue hata anijue and i thank God she knows me sana sasa hivi.
 
Manchesterunited20

Pole sana ....kama vile nakuona ulivo na mawazo...kama mimi ningekuwa ni wewe ningefanya yafuayo.
1.Napanga sehemu mbali bila kumtaarifu..
2.Mtoto nasisitiza tu apelekwe boarding school
3.Tumia kipato chako kufanya uwekezaji ili kujiimarisha kiuchumi.
4.Akikutukana usimjibu.
5.Usishike sim yakw na wala asishike ya kwako.
6.Usimuulize wala kumshirikisha chochote.
7.Kama mko wote anza kuchelewa kuridi home.
8.ujue kabisa huyo mwanamke ana ubinafsi ndo maana mshahara wake hujui matumizi yake .
Mwisho ukishapanga hama mtoto mpeleke boarding fanya maendeleo mengine yanakuja tu wala usihofu...Usije ukafa presure bure maana hawa wanawake hawatabitiki mpaka umpate aliyetoka kwa mungu na muendane ktk kuelewa...U need to get understanding woman for ur happiness life.
 
Last edited by a moderator:
Kama yana ukweli ongea na wazazi wako watakushauri jambo la msingi zaidi na ulifanyie kazi. Kina sisi tutakupoteza tu maana utakua kama mbwa kwa miluzi mingi itokayo kila mahali.
Ingawa ningekua mimi yeye pia angejuta kwa ayafanyayo;
1. Napotea siku 3 nikirudi tusiulizane
2. Siombi mchezo hata siku moja na akitaka hapati.
3. Sitoi pesa ya matumizi hata mia.
 
Haha kwa uvumilivu huo Id yako ilitakiwa kuwa Arsen....never mind. Anyway, just be a Man and straighten her up bro, she's the mother of your daughter and you gonna have to deal with her whether you marry her or not.
 
We achana naye mkuu...tafuta mwenye elimu ya kawaida ...hawa graduate hawana dili mkuu...
 
Paulo kuna wakati unafika hadi huoni umuhimu wa kufanya kazi, ukizingatia you are toiling for this!

Again, i think you let her play you like that bro. Sit her down and take charge, maybe she's been pushing you to all along man. You got a kid together already, now you don't wanna put yourself and more importantly your daughter in awkward situations every now and then man, think about it.
 
Wanaume wa sasa tuache kulialia aiseee. Itafika stage ukinyimwa chai unakuja kupost hapa ndani.

Mkuu amka toka usingizini, tayari ushakuwa msukule, subiri tuu kuepelekwa Gamboshi kule Shinyanga ukawasahau ndugu zako kabisaaaa.
 
Mvumilivu hula mbivu; Uvumikivu ukizidi hula MBOVU. Na ni kweli suubira yavuta kheri; nayo ikizidi yaleta SHARI. Nadhani umenielewa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom