Naombeni ushauri katika hili

Naombeni ushauri katika hili

Pole na hongera kwa uvumilivu ushauri wangu huyo dem tupa kule haraka coz hana adabu wala mapenzi nawewe hata kidogo..ila yawezekana ushakuwa msukule...dem kabila gani?
 
Mambo mengine yanakera sana, mnatudhalilisha Sisi wanaume...

Acha hizi mambo bro, kuna mambo kibao ya ovyo zaidi wanaume tunafanya na hatukemei kudhalilishwa. Watu wanachepuka, wanapita milango ya uani, wanakataa mimba/watoto na tunapuuzia tu. Sasa kwenye hiki kisa unadhalilika vipi?
 
Kikuna thanks, bt ningejua i couldn't get myself into such a trap

Hujachelewa kufanya maamuzi..hakuna chochote kinachokubond nae kwamba huwezi kumuacha.
Ht barabarani kabla haijawaka taa nyekundu huanza ya njano kukupa alert!
Mungu kashakupa alert usisubiri mpk taa nyekundu ya hatari iwake tena.
Kubali kumlea na kumtunza mtoto wako lkn acha mahusiano nae huyo dada. Kuzaa na mtu hisikulazimishe kumuoa huyo mtu.
Kaa zungumza nae yote yanayokukera,sembuse hujawahi kumwambia km hizo tabia zinakukera...km akibadilika sawa,asipobadilika funga huo ukurasa.
 
Funga safari hata ya wiki moja uende mkoani kama mbeya arusha au lushoto ukabadili upepo, ukirudi toka huko utapata akili mpya na maamuzi mazuri kwa mustakabali wa maisha yako.
Pole sana kwa hali inayomukabili najua nilipita huko awali.
 
Nadhani hayakufika hapo iviivi yalianzia mahali na ww ukayafuga madhara yake ndo hayo.sema nae na akubali kubadilika
Ukiona akuelewi na hana mpango let it go.
C kwamba kuna wema zaidi,amna wote tu wanadam na tunamapungufu yetu
 
Tang'ana don't say so coz degree haina impact katika hili. Yeyote anaweza kushauri hili and get it no one knows everything hata kama una masters degree.

Mimi Huwa sipendi sana kujibu thread za watu, ila hii yako imenibidi niijibu, Yaani Umeniudhi sana, sasa yote hayo hadi umeyaandika bado unaganda kutaka ushauri, ATAKUUA huyo mwanamke, Asepe zake na wewe chukua Hamsini zako, Kama ni kweli isije ikawa tunapoteza nguvu kujibu hadithi za Shigongo.
 
Unataka ushauriwe nini sasa? Au mpaka ufe ndio utafanya maamuzi?
Piga chini huyo haraka sana, hayuko sawa, anasubiri ndoa akuue achukue malimbikizo yako, mali asepe.
Tena siku utakayomwambia unuacha, usile chakula atakachopika wala maji.
 
katka mahusiano yenu lazima kutakua na mtu wa karbu yako au wa karbu yake ebu jarb kuwatumia na hao uone,kama ikishindkana huna budi kulivua pendo
 
kuwa mwanaume tu! achana nae, ila nenda kwanza kajikinge au anza kuwa muumini wa kweli wa masjid/church la sivo tunakupoteza
 
Kakurtemea mate mbele ya wadogo zako zarau zote hzo bdo unahitaji ushaur wa nn sasa fukuza huyo tena mtoe baru na mateke yamaana mwanamke akudharau kias hicho
 
Kwanza kabisa mkuu nikupe pole sana...Mimi nilipitia makubwa kuliko wewe na bahati nilikua sijafunga ndoa kama wewe...Nilivumilia sana ila ilifika mahali nikashindwa kuvumilia ikabid mpaka ndugu wahamasishe binti kuondoka...nafikir kutokana na uliyoyasema na ninaamini kuna mengi hujasema hapa huyo hakufai atakupatia maradhi ya moyo bure...Bora ukubali utunze mtoto wako ila kila mtu alale mbele...Kuoa si adhabu,na wala si lazima na wala c jambo la mwingine bali wewe...Tangia nimeachana nae nina amani tele...ukitaka ushaur zaid niibox
 
Back
Top Bottom