Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,364
- 29,573
Vyote vizuriNa vipi kuhusu chuo kizuri mimi nipo na vyuo Vinne mkononi kuna ATC DIT ST. JOSEPH UNIVERSITY Na must kip kizuri
Vyote vizuriNa vipi kuhusu chuo kizuri mimi nipo na vyuo Vinne mkononi kuna ATC DIT ST. JOSEPH UNIVERSITY Na must kip kizuri
Inategemea na viwango vya ufaulu mkuuna vipi ni lazima kusoma pre entry au inategemeana
Inategemea na viwango vya ufaulu mkuu
Vipi kuhusu N.I.T mabibo hawana izo course nauliza tuu lakinI think DIT wako vizuri zaidi...telecom. engeenering iko poa
Ngoja nikuulizie kwa staff wa NIT mkuu...ntakujuzaVipi kuhusu N.I.T mabibo hawana izo course nauliza tuu lakin