Naombeni ushauri chuo kizuri kwa diploma ya electric engineering

hilker mhema

Member
Mar 20, 2017
81
23
Jamani naombeni ushauri mimi nimemaliza form four 2016 nimepata division two nataka kwenda chuo kuchukua diploma ya electric engineering.

Je ni chuo gani ni kizuri kwa electric engineering na pia je ni engineering ipi itakuwa na soko pana la ajira baada ya miaka mitatu.
 
Cheki dit au must.
Nadhani ni vyuo bora zaidi kwa kazi za ufundi ufundi level ya certificate na diploma.
 
Jamani naombeni ushauri mimi nimemaliza form four 2016 nimepata division two nataka kwenda chuo kuchukua diploma ya electric engineering.

Je ni chuo gani ni kizuri kwa electric engineering na pia je ni engineering ipi itakuwa na soko pana la ajira baada ya miaka mitatu.
Piga diploma ya civil utakua safe zaidi kuliko electical
 
Mkuu hongera kwa kutamani Uhandisi , Je kwenye zile fomu za o level First priority uliweka Technical colleges kama uliweka ivo utakuwa selected Direct na serikali wata ku sponsered ila kama uliweka advance first priority na ukawa selected huko then uombe nacte kwenda Technical colleges basi utakuwa private sponsored itajitegemea kila kitu, Vyuo Vya uhandisi kwa Ngazi hio vinajulikana mbona na curriculum zao zina fanana fanana ni Arusha Technical colleges (ATC), Dar es salaam institute of Technology (DIT), na mbeya university of science and technology ( MUST) Vyote viko bomba na nakushauri kama unaupenda Umeme ww usome tu unalipa Course nzuri ni Core course kama Eletrical, Civil na mechanical ziko poa sana ingine ni AutoElectric and Biomedical Equipment engineering kwa dit na kwa ATC ni Electrical and Biomedical engineering
 
mkuu kuchaguliwa direct chuoni si kila mara hutokea,mwaka 2012,wanafunzi walioweka first priority chuo hawakuchaguliwa badala yake wakapelekwa Advanced level.

Wengi waliamua kwenda tu huko kutokana na uhalisia kwamba wasingeweza kujilipia ada za vyuo vya ufundi.

Bora mtu ujipange tu kukabiliana na gharama husika,kikubwa upate chuo cha serikali,sehemu ambayo unaweza kulipa ada kidogo kidogo!
 
Mkuu hongera kwa kutamani Uhandisi , Je kwenye zile fomu za o level First priority uliweka Technical colleges kama uliweka ivo utakuwa selected Direct na serikali wata ku sponsered ila kama uliweka advance first priority na ukawa selected huko then uombe nacte kwenda Technical colleges basi utakuwa private sponsored itajitegemea kila kitu, Vyuo Vya uhandisi kwa Ngazi hio vinajulikana mbona na curriculum zao zina fanana fanana ni Arusha Technical colleges (ATC), Dar es salaam institute of Technology (DIT), na mbeya university of science and technology ( MUST) Vyote viko bomba na nakushauri kama unaupenda Umeme ww usome tu unalipa Course nzuri ni Core course kama Eletrical, Civil na mechanical ziko poa sana ingine ni AutoElectric and Biomedical Equipment engineering kwa dit na kwa ATC ni Electrical and Biomedical engineering
Nilijaza advance lakini naona ni vizuri kwenda chuo na nipo tayari kulipa Ada yoyote Ile
 
Civil bado kuna soko kuliko electrical
usidanganye watu, mm nilihama civil nikahamia electrical pale ATC na soon baada ya kumaliza chuo member wote wa electrical tulipata kazi easly na rafiki zangu waliokuwa civil waliishia kukaa kitaa for a while
 
Back
Top Bottom